Yuko jirani yangu nae aliniadithia kuwa aliuguza binti yake akaagizwa dawa cha ajabu kazikabidhi anaambiwa subiri baadae anajulishwa binti yako kafariki na dawa ametoka kukabidhi, hajarudishiwa.
Hakika inakatisha tamaa hii
Ujaelewa mzeebaba
Matangazo n usibitisho kuwa habar zake n sensitive that's why watu wanamtumi a kimatangazo
Binafs namsaluti sana dogo
A na weredii Wa kaZi
Nchi haikumshinda njerere dadisi facts achana na propaganda
Njerere alipenda ujamaa zaidi ya ubepali akabuni/wakabuni N.A.M.
Ku sort out wababe Wa dunia lakini aliishi ulama a hadi mavazi yake yalisharabu UJAMAA na sera
Alipoona ulamaa umezidiwa nguvu toka juu USSR
Akamuweka mwingi ili...
Mkoloni alisuka systems za ubaguzi za elimu yahani waroma, waagrikana, kkkt, waislamu walitofautishwa kwa shule zao lakini uyu baba kaja kan'goa mfumo huo shule zote alinyanganya
hakika anakumbukwa kwa ushujaa mwingi sana
Njerere iz ze champion of true revolution
Alikuwa zaidi ya hatali
Alikwamishwa sana na watu wake Wa karibu wenye uroho wa madaraka.
# vita ya Uganda & Tanzania 1987 aliingia front mwenyewe hadi uwanja Wa kivita.
Alikuwa na itikadi Kali aliwakatalia serikali ya kigiriki kumwachia mgiriki...
Alafu wakojoaji makoponi usiku hawaoshi k* wakimaliza sasa kazi inakuja ukitaka game harufu ya mkojo hadi kinyaa
Inafika hatua unalazimisha ukojoe fasta sbb ya bud smell
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.