Recent content by chimala1

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari kwa shilingi milioni 5 wakuu

    weka no.ya simu
  2. C

    JamiiForums Tanzania WanaJF ingilieni kati

    pole sana ndugu.ELIMU UMEKOPA,KAZI UNANUNUA,yaani nchi yetu hadi raha sometimes,nakushauli usiendelee kukopa pesa kwa watu binafsi,maana itafika mwisho wa mwezi mshahara wote utaishia kwenye madeni ingawa sijui unapokea kias gan kama take home,jaribu ku uza samani za ndani kama unazo hata kwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio habari ya mjini

  4. C

    JamiiForums Tanzania Anaetaka dada wa kazi

    WEKA PICHA MKUU,alaf tuambie na specification na bei.specs km anamtoto,umri,kabila,tabia,elimu,n.k
  5. C

    JamiiForums Tanzania Anaetaka dada wa kazi

    WEKA PICHA MKUU,alaf tuambie na specification na bei.specs km anamtoto,umri,kabila,tabia,elim,
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marais wastaafu waombwa kumsaidia Magufuli!

    namuonea huruma mzee mwinyi Asije akapigwa KIBAO TENA.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    kwa maoni yangu,CC CHADEMA WAFANYE BUSARA BUNDA MJINI,waomuombe bw.Pius Masururi,na wanachama wafuasi wake(waliompgia kura nyingi za maoni),pia wa muombe bw.Magembe Makoye pamoja na wafuasi wake(waliempgia kura nyingi zaidi ya Esther),wawaombe wanachama wote kwa ujumla na wananch wasio wanachama...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ajira Kwanza Vs Elimu Kwanza!

    NAAMINI KUA DOCTOR NI MTU ANAYEFANYA TAFITI SANA TENA ZA KINA(kiufupi ni mwenye data sahihi),JE,UNATAKA KUTUAMINISHA WATANZANIA KUA KWA TAFITI ULIZOFANYA KAMA MSOMI UMEGUNDUA KUA AJIRA NI BORA KULIKO ELIMU KWA SASA?sisi watanzania tumepata fursa mbil kwa pamoja,na tunatakiwa tuchague moja(yaani...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ajira Kwanza Vs Elimu Kwanza!

    samahan kama nitakukwaza kama mch.Peter Msigwa. Wewe kama doctor na mbunge,je uliajiriwa kwanza ndio ukaupata udoctor na ubunge ama ulipata kwanza elimu ndio ikakupa ajira na ubunge?kwa mfumo wa elimu tulio nao wa kufuta masomo ya kilimo shulen na kuyarudsha kwa baadhi ya shule,kukosa mtahala wa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa hakuruhusu maswali kama Wassira na Mwigulu?

    NINYI HUU NDIO WAKATI WENU WA MWISHO KUTOA LUGHA CHAFU NA MATUSI AMA DHIHAKI KWA VIONGOZI WAKUBWA WA KITAIFA,NI BORA MKAITUMIA FURSA HII VZURI SASA,MAANA,HUKO TUNAKOKWENDA ULE MSWAADA ITAKUA SHERIA KAMILI YENYE MENO 32 YA KUWATAFUNA NYOOTE MSIWEZA KUZUIA HASIRA,HISIA ZENU DHIDI YA WALE...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Watoto wachanga wamepanga maandamano, wanataka haki zao!

    we unashangaa kuitwa baby,Usishangae mtu mzma kunyonyeshwa,huko cjui watagoma nin tena
  12. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fridge

    fridge la aina gan,anyway unipm no yako,mi ninayo 3,tunaweza ongea tukakubalia ila npo temeke.
  13. C

    JamiiForums Tanzania fumbo

    limekosewa.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Mbasha Afunguka sakata la Gwajima katika Twitter

    nanyi wafwas wa ngwasuma(gwajima),wanafki,tatizo la mbasha lilipotokea yalizungumzwa mengi kwenye mitandao na vyombo vngne vya habari,kuna maswal meng mlitaka ayajbu,leo katoa msimamo wake kwenye mtandao,ndio mnaona kakosea,akjibu maswal na hoja zenu kwa social networks hapo hakosei.Na yule...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wateja wa jumla wa mkaa

    huyo Teye nae dalali tu,anataka kula elf 20 ama 10 ya juu kwa kila gunia,bei anayokupa ndo bei wanayouzia wenye store dar,ye anasema ya jumla,sa we ukauze lak au? Wap wapo wateja wa kununua zaid ya elf 60,wakat mkaa wenye vibal toka tanga wanauza had elf 48 lombesa. Na sahz mkaa wa lindi mamlaka...
Back
Top Bottom