Hawa wafanyakazi wa ndani lazima muwe na records zao walipotoka.
Watu wanalia kila siku kwa kuchomewa michongo na majambazi.
We nenda pale Ubungo,kaa kwa muda kisha mtafute mama mmoja unaeona anasafiri mkoa husika,yaani kama unamuhisi ndio anarudi kwao kaja Dar kutembea,kisha muambie kwamba unahitaji mdada wa kazi.Basi haifiki wiki mbili akifika kwao atakuletea au kuku connect nae.
Ila kwa hawa wa Dar,ni majanga,sio wote,ila hawa wanaonadiwa namna hii ni wale waliopo kitengo maalum cha watu kufanya yao