Recent content by chimala

  1. C

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    niliwahi ishi na mtoto wa cousin wangu, nikienda kazini analeta maden kwangu, wanakula na kupika msosi wote uliopo. Mungu saidia akapaa kazi serikalini, bado akataka aendelee kukaa kwangu, mimi hapo nina chumba na sebule na choo basi, yeye analala sebuleni na haoni tabu. ikapita miezi mitatu...
  2. C

    Ndoa ni baraka kwa walio na bahati nazo

    saa nje ulifata nini ndo ulikuwa unaishi huko
  3. C

    Daraja la Magufuli ni moja ya White Elephant Project kubwa sana katika nchi hii. Daraja litakuwa la kupigia picha na kurekodi Movie

    IMAGINE AS IF WALIOTOBOA WATE WAPO DAR, SISI HUKU NI NG'OMBE TU HATUNA CHA KUPITISHA DARAJANI
  4. C

    Mtanzania Deo Massawe ateuliwa kuwa mkurugenzi Benki ya Rwanda

    Amenizidi sana tu, sema nini mi ningekuwa flaviana ningepata watoto kwanza kabla ya kuwaza kuachana,
  5. C

    Mtanzania Deo Massawe ateuliwa kuwa mkurugenzi Benki ya Rwanda

    ila handsome jamani sijui flaviana alishindwa nini kuishi nae
  6. C

    Huyu jamaa yangu ni mchawi au ni roho mbaya tu?

    mimi nina project ninayoo ni ujenzi wa hotel, basi kuna huyo mama ni mkubwa sana kwangu ila ndo huwa ananiulizia sana progress ya project, sikuwahi kuwaza kwa nini anafatilia sana, juzi sasa eti ananimbiaje eeh sasa kwa nini unajenga hotel ukifa mume wako si atavichukua nikamwambia sifi katika...
  7. C

    Tuambizane, tangu uyafahamu Mapenzi yamekusaidia nini?

    wengine hakuna hata cha maana tulifanyiwa ndo tukaolewa, ila nashukuru kwa kupata watoto wazuriiii
  8. C

    Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    we usimdanganye wafanyakazi wazuri ngumu sana kuwapata, atafute namna tu hata kama ni kufungia vitu chumbani, au kupika chakula kingi usiku then kinabaki kidogo cha mchana tu. vingine vyote stoo na ufunguo wa stoo unakaa nao
  9. C

    Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    mshirikishe kuwa miezi ya hivi karibuni, unanunua chakula mara kwa mara maana hakifiki mwisho wa mwezi, mimi wangu kupenda tv Jamani,chakula ataunguza, basi kama anajaza maji yatajaa yatamwagika hana hata habari, mwezi wa kwanza tu kuanza kazi bili ilikuja 70000, nilimshirikisha ile bill ni...
  10. C

    Send off nzuri sana imefanyika ya binti anayejielewa kutoka familia inayojitambua. Hakuna kusumbua watu Michango

    ndugu au Ume target rambirambi, hudhuria sherehe kwa sababu tu unapenda, ila usifanye ni investment utakuwa disappointed big time, utashangaaa watakao kuwa pamoja na wewe sio hata uliowachangia
  11. C

    Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

    mwambie mama akajiuze yeye si na yeye anayo eboooo
  12. C

    Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

    imagine unaachaje kumcontrol mtu hata hajui wajibu wake, bill za maji hajawahi lipa, chakula ananunua akijisikia, ada analipa robo napo mpaka umesemaa, kujenga sasa hawazi kabisa hela zake ni za ndugu zake na michepuko ebo
Back
Top Bottom