Recent content by chilumendo

  1. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Mrejesho3,mtoto umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Pole sana, najua hali unayopitia
  2. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Leo Lissu anahitimisha utetezi wake, tumuombee kwa imani zetu, tuachane na 'shekhe' anayeomba binadamu mwenzake afe

    Ni kichaa peke yake anayeamini kuwa lissu atanyongwa
  3. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Video: Tapeli wa Mawakala akamatwa afichua siri zao

    Mmmh sasa tutakwepaje mitego yao
  4. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Geita atangaza mbele ya Mkuu wa Mkoa kuwa ana uwezo wa kuzuia Mafuriko

    Staged hiyo wajinga watakamatwa hapo
  5. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Weos na veos vimishahara vyao ni vimishahara uchwara
  6. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Lema ana malengo gani na CHADEMA? Matendo yake yanatia wasiwasi

    Kuhoji siyo tatizo tatizo ni pale unapohoji mitandaoni wakati fursa ya kuhoji kwenye vikao unayo
  7. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Wasira: Tukipunguza nguvu za rais nchi haitapata maendeleo.

    Aya wale mnaoamini katiba itakuja bila kumwaga damu mtasubiri sana
  8. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Mtoa mada hujui tu lengo la lisu. Kwanza hawatakuja sababu ni kuogopa kudhalishwa na gifted ones. Pili, wakija mfano lissu akimuuliza IGP ni nani alitoa order ya kuua watanzania oktoba 2025 hilo swali ungekuwa wewe ungejibuje?
  9. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

    Ukiwa tajiri hubabaishwi na nidhamu ya uoga. Sijui wakinamadelu wanababaishwa na nini
  10. chilumendo

    JamiiForums Tanzania Uchawà kazi kweli kweli.

    Ndiyo ujue ilivyo vigumu hao watanganyika tunaowategemea kuipigania tanganyika. Wapo tayari wajambiwe kuliko kuacha vyeo. Hongera EJN
  11. chilumendo

    JamiiForums Tanzania CDF ,IGP, DPP jiandaeni kujibu Aliyeua Watanganyika Oktoba 29 2025 ni nani? Na Nani aliwapa Order ya Kuua Watanganyika Oktoba 29!

    Ni either wakatae au kesi kuisha. Ungekuwa wewe ndiyo wao ungeenda?
  12. chilumendo

    JamiiForums Tanzania CDF ,IGP, DPP jiandaeni kujibu Aliyeua Watanganyika Oktoba 29 2025 ni nani? Na Nani aliwapa Order ya Kuua Watanganyika Oktoba 29!

    Kuna wajinga humu wanaamini cdf na igp watakwenda mahakamani never ever
  13. chilumendo

    JamiiForums Tanzania KERO Shule niliyokuwa nafundisha inagoma kunilipa posho yangu baada ya kuacha kazi

    Chanzo ni kula hela ya bima Imekatwa moja kwa moja
Back
Top Bottom