Recent content by CHILUMATE GS

  1. CHILUMATE GS

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Hapa ndo utaaamini uchawi upo
  2. CHILUMATE GS

    JamiiForums Tanzania Kazi zipo isipokuwa vijana wenzangu hawapendi kujishughulisha

    Boss lady ,hauna ka kazi hapo unialike ,npo four ways hapa
  3. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba mwanamke akishazaa thamani yake hushuka?

    Wakati fulani nilienda dukani kununua kifaa fulani, mwenye duka akanipa boksi likiwa na kifaa ndani lakini boksi lile lilionekana kufunguliwa(alidai kuna mteja alinihitaji kuona bidhaa kwa makubaliano angeinunua ila hakufanya hivyo) kwa hesabu za haraka kununua bidhaa boksi likiwa limekwisha...
  4. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawachana wanaume wenzangu kuanzia juu mpaka chini

    With capital letter kabisa,,mkuu katika nyanja ya kusisitiza upo vizuri,kongole
  5. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi hawapendi fedha wala mali bali saizi ya mashine

    Neno ni moja mkuu,jiamini
  6. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Focus kwa sasa,acha kuliongelea hili swala sana,,naamini utafanikiwa,,,,si unajua hata manzi ukimuongelea sana anajua unampenda ,,relax mkuu ,kula vizuri,zoezi kidogo,,inawezekana
  7. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Mkuu bila shaka unakula maisha sana mahali hapo(kwa huyo bint) hongera sana,,ila yakigeukaga ni vumbi
  8. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanamke wako siku ya kwanza kwa nguvu, Je ni kubaka au huwa wanapenda?

    Wakikujibu nitag mkuu
  9. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti, unawezaje kuacha kumpenda mtu asiyekupenda?

    Nilikuwa nmekuandikia ushauri fulani kimaelezo ni wa ajabu kidogo,ila aliyenifundishaga alidai kwake hiyo ni mbinu pendwa ya kusitisha au kusahau vitu au watu fulani (ila hakuwai kunambia kama hiyo mbinu inawez fany akasahau watu anaowadai ,jokes) bahati mbaya mtandao ulikuw low reply ikafeli...
  10. CHILUMATE GS

    JamiiForums Tanzania Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

    Hizo kauli za hivo kwa haraka haraka ni matokeo ya hizi dini zetu,,hata viongozi wa kidini ukimuuliza uthibitisho wa izo kauli ni changamoto bado
  11. CHILUMATE GS

    JamiiForums Tanzania Nimepiga mahesabu yangu ya haraka haraka huyu Ginimbi alikuwa millionaire wa kutisha

    Mkuu ni bora umeliona hili swala,,hizi imani za kusema aina ya kifo alichoondoka nacho marehemu fulani ndicho alichopangiwa ni upuuzi fulani wa ajabu mno,,hakuna uthibitsho wa moja kwa moja
  12. CHILUMATE GS

    JamiiForums Tanzania Skills 5 rahisi za kuwa nazo 2021

    Gwara amigo,simple & clear
  13. CHILUMATE GS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Kuna kitu umeficha ,haya sema mama upate tulizo na faraja ya moyo,,ila pole sana
Back
Top Bottom