Eti, unawezaje kuacha kumpenda mtu asiyekupenda?

Kua busy.. Tafuta kitu cha kukuweka busy kama huna.. Punguza mawasiliano kidogokidogo
 
point znaeleweka mbn inaonekan uyo manz kakuzoea kama wew n mwanaume bc fany yafuatayo:
1) Tafuta makambi i mean wanawake zaid ya 2 ujaribu kuwahandle chati nao kila mda ,jarbu kuhamisha hisia zako kutoka kwa uy unaempenda mpka kwa awa wengne ikiwezeka uwe unashinda nao mda mwng,maana upendo muda mwngine , huja kwa kutizama&ukarbu, so jikeep close na awa wengine usijipe muda kumfikilia yeye

2) Ondoa kumbukumbu y vtu vnavyokufanya umkumbuke mfano,zawad,picha,nyimbo ulizokuwa ukisikiliza kipind mapnz yen yanawaka moto mtam,,ikibid fany kuham maeneo mliyozoea kuish pamoja na upunguz kula vyakula mlvokua mkila pamoja,

3) Kuwa bize na kazi ikiwezekan fnya kutafta marafiki wnye positive thinking,,kuwa bizee sna na michezo au hata kuchek mpira na magem hii itakusaidia sana epuka kukaa mpweke kwn itakufanya uwaze ujinga nakumfikilia yeye

4) Imarisha uchumi wako,muonekano wako,punguza mazoea kwake ikiwemo kuchat nae,,usifut nmba zake ziach iv iv bt mkomeshe kweny whastapp status zako ukiwa na muonekan mkar ikiwemo ukiwezena pga picha na marafiki weng wakike bt usiweke vijembe vyakumchamba ,kwan itazua tafuran ataacha kukufatilia status zako w piga pcha na pis kal af andika caption ''nmekumiss my lov friend"" usiruhus unyonge ukutawale kwan kwakufany hiv kutamfanya azd kuwaza kwann unabadrika aumfikilii tenaa,ikiwezekan mtag fb akalike picha zako nawew ukilike post zake bt usikoment neno lolote,,,kuwa bze kutafta pesa nakuambia utakuja nishukuru,,,hata mm nmeptia kuteswa na mpenz wa hiv bt nlfanya hiv mbn alinitafta ye mwnyew nakukil kuwa alkosea saana....
 
Kati ya vitu ambavyo havilazimishwi kimoja wapo ni mapenzi. Ukiendelea kulazimisha mwisho wa siku utaambulia maumivu. Bado haujachelewa anza upya. Tafuta kitu mbadala ambacho kitakufanya uwe busy. Kila la kheri
 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
😁😂😅😄😃😀😁😂
 
Sijui nifanyeje wapedwa ninampenda sana mpenzi wangu lakini mwenzangu haoneshi kunipenda kama ninavyompenda mimi najiona sipedwi

Naombeni msaada wenu nifanye nini nipunguze kumpenda mtu asiyenipenda nisaidieni tafadhalini
Kuna nut za kukaza kwenye akili yako, namaanisha you are what you think or feel of your self=emotion ,sasa basi tafuta namna yakupunguza hisia kwa mtazamo wewe ni mtu wa kuendeshwa hisia itakupelekea kujenga Sumu katika nafsi na utaishia kuchukia me/ke kwa jinsia uliyonayo
 
point znaeleweka mbn inaonekan uyo manz kakuzoea kama wew n mwanaume bc fany yafuatayo
1)tafuta makambi i mean wanawake zaid ya 2 ujaribu kuwahandle chati nao kila mda ,jarbu kuhamisha hisia zako kutoka kwa uy unaempenda mpka kwa awa wengne ikiwezeka uwe unashinda nao mda mwng,maana upendo muda mwngine , huja kwa kutizama&ukarbu, so jikeep close na awa wengine usijipe muda kumfikilia yeye
2)ondoa kumbukumbu y vtu vnavyokufanya umkumbuke mfano,zawad,picha,nyimbo ulizokuwa ukisikiliza kipind mapnz yen yanawaka moto mtam,,ikibid fany kuham maeneo mliyozoea kuish pamoja na upunguz kula vyakula mlvokua mkila pamoja,
3) kuwa bize na kazi ikiwezekan fnya kutafta marafiki wnye positive thinking,,kuwa bizee sna na michezo au hata kuchek mpira na magem hii itakusaidia sana epuka kukaa mpweke kwn itakufanya uwaze ujinga nakumfikilia yeye
4)imarisha uchumi wako,muonekano wako,punguza mazoea kwake ikiwemo kuchat nae,,usifut nmba zake ziach iv iv bt mkomeshe kweny whastapp status zako ukiwa na muonekan mkar ikiwemo ukiwezena pga picha na marafiki weng wakike bt usiweke vijembe vyakumchamba ,kwan itazua tafuran ataacha kukufatilia status zako w piga pcha na pis kal af andika caption ''nmekumiss my lov friend"" usiruhus unyonge ukutawale kwan kwakufany hiv kutamfanya azd kuwaza kwann unabadrika aumfikilii tenaa,ikiwezekan mtag fb akalike picha zako nawew ukilike post zake bt usikoment neno lolote,,,kuwa bze kutafta pesa nakuambia utakuja nishukuru,,,hata mm nmeptia kuteswa na mpenz wa hiv bt nlfanya hiv mbn alinitafta ye mwnyew nakukil kuwa alkosea saana....
Genius
 
Sijui nifanyeje wapedwa ninampenda sana mpenzi wangu lakini mwenzangu haoneshi kunipenda kama ninavyompenda mimi najiona sipedwi

Naombeni msaada wenu nifanye nini nipunguze kumpenda mtu asiyenipenda nisaidieni tafadhalini
Nilikuwa nmekuandikia ushauri fulani kimaelezo ni wa ajabu kidogo,ila aliyenifundishaga alidai kwake hiyo ni mbinu pendwa ya kusitisha au kusahau vitu au watu fulani (ila hakuwai kunambia kama hiyo mbinu inawez fany akasahau watu anaowadai ,jokes) bahati mbaya mtandao ulikuw low reply ikafeli,,

USHAURI MWINGINE: GET BUSY ,utapunguza ,taratibu utaacha kumpenda(kwa lugha rahisi punguza mawasiliano nae)
 
point znaeleweka mbn inaonekan uyo manz kakuzoea kama wew n mwanaume bc fany yafuatayo
1)tafuta makambi i mean wanawake zaid ya 2 ujaribu kuwahandle chati nao kila mda ,jarbu kuhamisha hisia zako kutoka kwa uy unaempenda mpka kwa awa wengne ikiwezeka uwe unashinda nao mda mwng,maana upendo muda mwngine , huja kwa kutizama&ukarbu, so jikeep close na awa wengine usijipe muda kumfikilia yeye
2)ondoa kumbukumbu y vtu vnavyokufanya umkumbuke mfano,zawad,picha,nyimbo ulizokuwa ukisikiliza kipind mapnz yen yanawaka moto mtam,,ikibid fany kuham maeneo mliyozoea kuish pamoja na upunguz kula vyakula mlvokua mkila pamoja,
3) kuwa bize na kazi ikiwezekan fnya kutafta marafiki wnye positive thinking,,kuwa bizee sna na michezo au hata kuchek mpira na magem hii itakusaidia sana epuka kukaa mpweke kwn itakufanya uwaze ujinga nakumfikilia yeye
4)imarisha uchumi wako,muonekano wako,punguza mazoea kwake ikiwemo kuchat nae,,usifut nmba zake ziach iv iv bt mkomeshe kweny whastapp status zako ukiwa na muonekan mkar ikiwemo ukiwezena pga picha na marafiki weng wakike bt usiweke vijembe vyakumchamba ,kwan itazua tafuran ataacha kukufatilia status zako w piga pcha na pis kal af andika caption ''nmekumiss my lov friend"" usiruhus unyonge ukutawale kwan kwakufany hiv kutamfanya azd kuwaza kwann unabadrika aumfikilii tenaa,ikiwezekan mtag fb akalike picha zako nawew ukilike post zake bt usikoment neno lolote,,,kuwa bze kutafta pesa nakuambia utakuja nishukuru,,,hata mm nmeptia kuteswa na mpenz wa hiv bt nlfanya hiv mbn alinitafta ye mwnyew nakukil kuwa alkosea saana....
Naunga mkono hoja
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom