Recent content by Chilla moko

  1. Chilla moko

    SI KWELI Kunguru akifa haozi

    Wanasema wakina nani?
  2. Chilla moko

    Hebu tuijadili hii tabia ya kunyolewa ndevu na mwanaume mwenzio!

    Kwanza ndevu zenyewe unazo? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Chilla moko

    Hii ina maana ipi

    We shikilia hapo kwenye neno "SAWA" Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Chilla moko

    Hii tabia inakera kwenye daladala

    Kaka muziki unalegeza safari
  5. Chilla moko

    Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Kwahiyo mnaleta nuksi na mambo ya tabia ya, tafsiri ya kuachana ni mmeshindwana tabia au mwenendo.
  6. Chilla moko

    Mahusiano ya mbali ni balaa

    [emoji23][emoji23]tunawekana sawa
  7. Chilla moko

    Mahusiano ya mbali ni balaa

    Cheti cha ndoa ndo kinafanya mtu hasiwe na nyege?
  8. Chilla moko

    Mahusiano ya mbali ni balaa

    Kujihiba siku mojamoja punguza ashki sio vibaya ila mbaya ni kuanzisha mahusiano mengine juu ya mahusiano.
  9. Chilla moko

    Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Ndoa ni agizo la mungu haijalishi mke bikra au laa! Haijalishi mke mjane au kaachika Sisi tunasimamia neno NDOA hizo tofauti zengine ni fikra tu za kiimani potofu
Back
Top Bottom