Recent content by chilex

  1. chilex

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli miti hujongea/kuwasiliana na kuna aina fulani ya miti ina miujiza?

    Mm natamani nione msemayo, kwetu cc ipo Minazi, michungwa, mikorosho na miembe sasa labda wale Iringa, Biharamulo, Tabora na Katavi watuambie
  2. chilex

    JamiiForums Tanzania Njoo unione live( second frm left)

    Hawajatairiwa
  3. chilex

    JamiiForums Tanzania Haponi mtu kwa style hii...

    Anasoma Moro day anatoka Atown
  4. chilex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanafunzi mzuri kutoka Arusha atatimiza ndoto zake?

    Hajakatwa kinaniii kile
  5. chilex

    JamiiForums Tanzania *Rwanda Ranked The Most Sexually Satisfied Country In The World*

    These people are very sexiful
  6. chilex

    JamiiForums Tanzania Ushauri huu watauelewa Wanawake wa siku hizi?

    BY JOSEPHINE MICHAEL. Ujumbe Kwa wanawake, ukitokea ukapata mwanaume anakuheshimu, anakupenda na unaona anakupenda. Shikilia nakushauri kwa sababu wapo wanawake wenzangu mnaachika bila kutumia akili. Ukiwa na mwanaume ishi naye kwa akili, mwanaume atukanwu, harudishiwi maneno mbovumbovu...
  7. chilex

    JamiiForums Tanzania *Rwanda Ranked The Most Sexually Satisfied Country In The World*

    Baadhi ya maccterdu huko Rwanda
  8. chilex

    JamiiForums Tanzania *Rwanda Ranked The Most Sexually Satisfied Country In The World*

    According to a survey carried out by the leading Condom Manufacturer in the World, Durex, across 26 countries of the world, Rwanda was named the most sexually satisfied country. The study states that Rwandans spend at least 26 minutes during intercourse. Countries were ranked based on mutual...
  9. chilex

    JamiiForums Tanzania Kupona Ukimwi

    Utapeli
  10. chilex

    JamiiForums Tanzania Asilimia 80 ya watanzania Wana matatizo ya macho.

    Kwa Ufahamu wangu mdogo, kila mtu anakanukta fulani hivi ya ukichaa. Lkn kichaa kinaweza kuwa cha muda au cha kudumu. Sasa je ni wakati gani mtu anaweza pata ukichaa wa muda na nawezaje kumjua kuwa amepatwa ukichaa. Hatahivyo, lengo la tafiti hii ni Nn? Na ina imply Nn?
  11. chilex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana mwanamke mwenye rangi nyeusi.

    Huyu kwenye pic black beauty haswa, alafu yupo slim. kama ww una rangi kama hiyo aise watoto wenu watakuwa kama kambale . Hata Mm nimempenda, adimu sana.
  12. chilex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana kumbuka kwa dunia ya sasa mademu ni wengi,wanawake ni wachache,kuwa muangalifu

    Aise, ni shida na ni vigumu kupata mke now days. Ila mademu kibao
  13. chilex

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hata shetani akiondolewa duniani leo kuna watu watamlilia

    Rafiki wa jana ndiye adui wa kesho.
  14. chilex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Simu yenye ubora kwa sasa IPhone, inafutia Sonny, BlackBerry, Microsoft, Samsung, huawei, ........ zinafuatia hizo zingine. Kwa cm OG tu
  15. chilex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wa mme ni chanzo kikubwa cha migogo ktk familia nyingi.

    Nafikiri chanzo cha migogoro ni kukosa upendo ktk familia iliyosababishwa na kukosa kipato cha kutosha au kukosa nguvu za kiumbe maranyingine kukosekana kwa uaminifu
Back
Top Bottom