Ushauri huu watauelewa Wanawake wa siku hizi?

Ushauri huu watauelewa Wanawake wa siku hizi?

chilex

Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
61
Reaction score
25
BY JOSEPHINE MICHAEL. Ujumbe Kwa wanawake, ukitokea ukapata mwanaume anakuheshimu, anakupenda na unaona anakupenda. Shikilia nakushauri kwa sababu wapo wanawake wenzangu mnaachika bila kutumia akili. Ukiwa na mwanaume ishi naye kwa akili, mwanaume atukanwu, harudishiwi maneno mbovumbovu, asimangwi, karudi nyumbani hana kitu leo kakosa mshukuruni Mungu kesho mtapata, sio mnanuna. Mwenzio anapitia kwenye majaribu zaidi ya mwaka moja au miwili hana hela mfukoni usimwoneshe dharau mpende sali kwajili yake atapata kesho nawaomba mtazame hili nawashauri tu msinichukie.
 
Mwanamke unamuheshimu..unamjali..pesa unampa bila hata kukuomba..unampa tym yako...unamvumilia lakini bado tu humsomi anataka nini...

Mwisho wa siku tunawajumuisha wote mpo hivo.
 
Wanawake wa sasa hawajui nini wanataka,wanaona kutongozwa na kila mtu ndio vizuri,hawajui sisi wanaume tukimuona mwanamke anaejiheshimu hatuwezi kumtongoza.
 
Back
Top Bottom