ni sheria gani inatoa msharit ya taasisi za kutoa elimu juu ya katib pendekezwa kuomba vibali? au ni muhemuko tu wa Hutu jaji ili kujipendekeza kwa ccm.
haya ndo matokeo ya kutoa ajira za jeshi kwa kuangalia we we no Mtoto was nani. hata kama huna vigezo. kuna tupolisi tungine hata ukikaona tu hakawezi hata kuwa askali jamii. lakin kwasababu Mjomba in kigogo kinapewa nafasi.inauma sana. wacha wapigwe tu.
nipo wilaya ya BUhigwe (Kigoma) mwalimu shule ya msingi Mgogo, nina miaka miwili kazini, natafuta mtu wa kubadilishana yeye aje huku mi niende kati ya mikoa hii, Iringa, Njombe na Mbeya, atakaye kuwa tayari tuwasiliane PM
Natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi. yeye aje huku kigoma wilaya ya Buhigwe shule ya msingi Mgogo.
atakayekuwa tayari kutoka mikoa ifuatayo, Mbeya, Sumbawanga(rukwa), Njombe na Iringa.tuwasiliane kupitia pm:hail:
Dear Nyerere;
ulituacha tuna tv moja tu RTD, lkin sasa tuna Efm, mbaya zaidi tuna cloud fm.
ulituacha tuna watangazaji wenye sifa lakini sasa hata Kibonde ni Mtangazaji.
Bangi bhana, alianza Afande sele, akaja Prof.J, akafuata Kalapina, nawengine wengi hawa wasaniii siwaelewi ni kitu gani kimewasukuma kufanya hivyo kila mtu anatangaza nia, wanataka kuwa na bunge lao wenyewe, Wataweza kama Bongo Muvi tu imewashinda ikiwa chini ya huyu kiongozi wao so called...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.