Recent content by chilato

  1. C

    JamiiForums Tanzania Fursa za kibiashara Tunduma na Mwanza

    Nina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nini labda.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Fursa za kibiashara Tunduma na Mwanza

    Nina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nn labda
  3. C

    JamiiForums Tanzania Fursa za kibiashara Tunduma na Mwanza

    Nina mtaji usiopungua M5 hapa ninampango wa kuja mwanza, naweza wekeza kwenye nn labda
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata taabu kupata mapenzi ya kweli?

    Kwa upande wako wewe unapenda mwanaume wa aina gan??
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata taabu kupata mapenzi ya kweli?

    Basi njoo tubaguane kwa facts
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata taabu kupata mapenzi ya kweli?

    Come to me akili kubwa, na mimi ni mbaguzi sana wa wanawake hasa wakiwa empty kwa head
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni mtu gani unayemjua aliwahi tajirika kutokana na Foreverliving au kupata safari wamazosemaga Korea na Singapore? Ushuhuda Plz

    Pole sana mkuu, kiukweli hii biashara haifai ni ngumu sana kuliko jinsi wamvoielezea wahusika. Hii ni kama pyramid scheme, walionza mwanzo ndo wataendelea kunufaika na ni wachache sana ndio maana hata mifano inakuwa michache sana. Kama una malengo na huyo mwenza wako mtoe kwenye hiyo biashara...
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishia kuponea kwa malaya tu wanaojiuza

    Msikilize mzee mwezako bana
  9. C

    JamiiForums Tanzania Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

    Kwa mdada kama Sky eclat, kumuuliza maswali ya kipuuzi kama hayo ni kujidhalilisha mwenyewe. Huyu dada yuko smart kichwani, ni mtani wa watu, mcheshi na hajiskii kabisa(simple). Hivi unawezaje ukawa na tatizo na mtu kama huyu?? Nadhani mtoa mada ni wivu tu na umasikini ndo unaokusumbua...
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Haya kila la kheri mkuu, Mungu akufanyie wepesi upate haja ya moyo wako. Usiache kumtafuta Super Woman 2, mtoe out msikilize mwazo yake unaweza ukashangaa. Kama ni Company, hiyo inahitaji usimamizi tu hivo ukipata mwanamke anyejielewa ataweza hiyo kazi vizuri huku unamsaidia mambo madogo...
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Basi best atakuja mwingine labda bahati siyo yako. Mi nina mchumba tayari na tumetoka mbali sana, ningekuwa single ningekuchua wewe mtoto mzuri nikoe nikiweke ndani tujenge familia bora.
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Unaniangusha best, hebu jaribu bahati yako leo watu tule pilau.
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Mjaribu Super Woman 2, mbona ni mwanamke mzuri alafu smart. Usiache huyo mtoto kaka apitw hivi hivi
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Usimtanie mme mtarajiwa hujui anaweza kubadili gia angani akakufata PM. Mi nishakupigia chepuo
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye nitafunga nae ndoa

    Kaka jaribu kuwasiliana na huyo dada mfahamiane huwezi jua labda ukakuta ana qualities unazozitaka. Kuna wanawake hawakupata bahati ya kusoma kufika elimu ya juu kwa sababu mbali mbali kama ukosefu wa fedha. Unaweza kuta ni mtu smart sana ukashangaa, akakupenda akakutunzia heshima yako...
Back
Top Bottom