Recent content by chilambo chavanuvanahe

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kaniboa sana, ushauri tafadhali

    Embu shaurini sio mwapopoma tu,mtu kama anajijua ni kawaida yake kulala kwenye gari angesema before sio ana make promise kwamba atanicompany safari yote mwishowe analala tu,halafu vya kufanya sio kuparamiana tu vipo vingi tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kaniboa sana, ushauri tafadhali

    Wakuu, Nina mgogoro wa nafsi hapa naona bora niwashilikishe kwa mawazo yenu. Mchumba/kidoshodosho wangu kanikwaza kweli leo.Tulisafiri wote kutoka Mtwara kuja Dar na basi ya Tashrif. Tulipanga mengi ambayo tutayafanya tukiwa safarini ili kufanya penzi letu liwe mubashara hadi nilishikwa na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Alternative ya Neno "Mkuu"

    mkuu libadili liwe mkaa itakuwa bora zaidi
  4. C

    JamiiForums Tanzania DIT vs UDSM(COET) projects

    nenda kagoogle projects za udsm zipo za kutosha tu maana unaleta ushindani usio na tija, hivi unafikiri wangapi wapo dit wanatamani wangekuwepo coet?.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

    Kumbe kwenye mambo ya kula ud kupo vizuri
  6. C

    JamiiForums Tanzania Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

    Aissee nipo interested na mama zinduna huyo mkuu,yupo ndani ya hostel?.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

    Wapi ni komesha kati ya kote huko?. Wanauza menu gani huko mkuu?.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

    Wakuu mimi ni 1st year UDSM/COET. Kama title inavyojieleza naomba nifahamishwe sehemu za kwenda kupata msosi pale mabibo hostel,siwezi kaa campus hata nikipangiwa napenda kaa mazingira mbali na chuo hivyo ni mabibo hostel. Naomba nifahamishwe machimbo ambayo naweza pata chakula quantity 1st then...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani nitumie ili niweze kufaulu Advanced Mathematics

    Unasoma comb gani dogo usijekesha na math aff ikakubaka vlevle,,,komaa na unachokiweza
  10. C

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    mdogo wangu jaribu kubet labda mwaka wenu but kwa miaka hii ya karibuni na experience yangu huwez kupata kwani kwa mwaka jana mwisho ni division 1 ya point 7
Back
Top Bottom