Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

Chimbo/Migodi ya kula Mabibo Hostel

Kwa bi Lukundu pale...ulizia bwabwa tipa 900/-
maji dripu moja ya kibabe 100/-
bwabwa garanteee linakusavavuisha 24hrs trust me!!
 
KWA VIJANA aseeee.... pale mwisho wa matatizo, kuna vikolokolo vingi
RB
Tambi mixer maharage au nyama
Viazi mbatata
Pilau + kachumbari
.
n.k
kuna kula hapo hapo au safari.....
KW MAMA K....
KWA MPEMBA.....
KWA JENIFER......
etc etc.... chimbo ni nyingi mnoo... ni ww tuu na buku yako tuu...
.
yawezekana ukapata mzuka wa kula cafeteria ya ndani na imani utajutia ela yako na hautakaa kula cafe ya ndani labda kwa dharura ...
.
ila andaa nyayo hizo kwa ajili ya shuttle pori hasa kwny mapindi ya jam km vile DS, CL, CT, EF, etc kwa wale wa education.....

......karibu bibo kwa wa......
 
Wakuu mimi ni 1st year UDSM/COET.
Kama title inavyojieleza naomba nifahamishwe sehemu za kwenda kupata msosi pale mabibo hostel,siwezi kaa campus hata nikipangiwa napenda kaa mazingira mbali na chuo hivyo ni mabibo hostel.
Naomba nifahamishwe machimbo ambayo naweza pata chakula quantity 1st then quality inafuata au kama kuna sehemu naweza weka hata bill ya ukoko mnijuze tafadhari
Sema hata kama kuna sehemu kuna msosi mkali nijuzeni maana siku moja moja kula vizuri si vibaya.
Nawasilisha
hahaha dah 1st yr bhn
 
Kwa mama kifusi, mama ndumbi wote hao cha mtoto. Kuna mama anaitwa mama Zinduna aseee uyo ndo kiboko.
Mkuu sema hilo chimbo lilikuwa mbali kidogo afu mpaka uwe mjanja...Daah nimepamiss sana
 
Hahah ukipata hilo chimbo ni PM na mimi nakuja kuanza first year October In shallah.

Maana ndo maisha yetu sisi makapuku tunataka quantity first then quality.
 
KWA VIJANA aseeee.... pale mwisho wa matatizo, kuna vikolokolo vingi
RB
Tambi mixer maharage au nyama
Viazi mbatata
Pilau + kachumbari
.
n.k
kuna kula hapo hapo au safari.....
KW MAMA K....
KWA MPEMBA.....
KWA JENIFER......
etc etc.... chimbo ni nyingi mnoo... ni ww tuu na buku yako tuu...
.
yawezekana ukapata mzuka wa kula cafeteria ya ndani na imani utajutia ela yako na hautakaa kula cafe ya ndani labda kwa dharura ...
.
ila andaa nyayo hizo kwa ajili ya shuttle pori hasa kwny mapindi ya jam km vile DS, CL, CT, EF, etc kwa wale wa education.....

......karibu bibo kwa wa......
Mkuu ulijiita kifusi kabisaa hahaaa msalimie mama kifusi
 
Ukisoma ud halafu hukukaa bibo kuna experience unakosa. Siwezi sahau wale wafanya usafi walivyokuwa waningizwa ktk vyumba vya wanafunzi. Pia Luna nyumba kule nyuma ya block E kuna jamaa alimshawishi mfanya kazi wa ile nyumba ya mwanzo kabisaa wakawa marafiki na hatimaye akamuingiza ndani ya hostel.
 
mama kifusi
mama ndumbi
na mama mjeshi hapo utapata na chai rangi, pia hiyohiyo ndiyo njia ya shuttle porii
 
Back
Top Bottom