Recent content by chilamanyika

  1. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Ifutwe Zanzibar tuwe na Tanzania au uwepo Muungano usiohusisha urais

    Hili jambo mi nilishawahi kusema hapa kundini watu hawakunielewa Labda ni Kwa namna nilivyo liwadirisha. Mi naona Kwa jinsi muungano ulivyo ebu tufute serikali ya Zanzibar tubaki na Tanzania Zanzibar ibaki mikoa kama ilivyo kigoma, Kilimanjaro n.k
  2. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Halima Mdee na wenzake ilikufa?

    Habari wana jamvi, Kama wewe ni mfuatiliji wa siasa za bongo utanielewa. Ni kwanini viongozi wote wa chadema hawaongei kuhusu wabunge wa viti maalumu ambao walipewa jina covid 19. Ni jambo la kushangaza sana. Mikutano ya hadhara imefunguliwa Kwa Kasi kubwa na hoja nyingi kemkem lkn hojja ya...
  3. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Huo ndo mkoa gani
  4. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Binafsi nimekuelewa vizuri. Hata hivyo tayari tumesha sikia habari kutoka kwa watu wa karibu inaonekana huyu jamaa baba yake alikua anamiriki migodi baada ya kifo Cha babaake ndugu wakagawana majukumu ya kusimamia mali za familia,. na yeye alipewa jukumu la kusimamia mgodi uliopo mkoa wa...
  5. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

    Ukiona mke anakumbuka mume Alie muacha awali, ujue mume mpya hauwajibiki ipasavyo!!
  6. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Inawezekana wewe ndo mtu usieijua Tanzania Ebu tutofautishie tz ya enz za mzee mwinyi na enzi za JPM
  7. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa mmojawapo anaweza kuwa Rais 2025

    Waislam ndo kitu gani
  8. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Kikwetu tunasema ingoma inogilee. Mi naomba niulize swali kwani Alie peleka majina ya hawa wabunge 19 NEC bado chadema hawajampata? Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  9. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Ebu tuambie kwenye mashauriano we ulikuepo Hawa watu wanaweza shauriana hata kabla
  10. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

    Ongeza sauti! CCM ni adui wa Wazanzibar? Unaongelea wazanzibar gani wale walio ipa kura CCM? Una hoja nyepesi Sana mkuu
  11. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Badoo nafasi nane mkuu usihofu Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  12. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Kamuulize mbowe Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  13. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Huu ni ugonjwa wa ubongo!
  14. chilamanyika

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

    Wapinzani wamejimaliza wenyewe
Back
Top Bottom