Recent content by chikwilya

  1. C

    Tulionywa kuhusu mabillionea 40

    Hawa wa chadema aslia vs chadema pesa tunawajuwa.wapo wengine ndani ccm.lakini wapo wengine wamefichama nyuma ya pazia!kwa kweli vyombo vya JK havitutendei haki waTz pamoja na kwamba wanachi tunakamliwa mno for their wellbeing!JPM fanya kweli ili hata hili lundo la vijana waelewe enzi za JKN...
  2. C

    Magufuli azuru makaburi ya babu na bibi yake, Katoma Geita Vijijini

    nafikiri kile kijiji kinaitwa KATOMA na si KATORO!afu kuna umbali mrefu mno kati yavyo.usimlaumu huyu mheshimiwa.
  3. C

    Dar es Salaam: TAZARA and Ubungo flyovers - Construction starts November 2015

    ni kiasi cha kurudi kuangalia madafu kiduchu aliyouziwa afu ipigwe ankara ya uwiano.nnahakika nyingi ziliishia mfukoni mwa wajanja na kwa hivyo basi imekula kwake!
  4. C

    Mwigulu atuma salamu kwa vitendo kwa Lowassa na Vincent Nyerere

    kweli hii ndiyo nchi ya bongolalaland watanzania wenzangu!mtu anaamkaa f i s a d i jioni anakwenda kulala r a i s i .inaingia akilini ?
  5. C

    Kikwete tutakukumbuka kwa BVR

    BVR!Nimeshangazwa na nilichokiona wakati wa kupewa kitambulisho cha bei mbaya.Ni baada ya ku-scan watu wawili mtambo uligoma.Mhusika mmoja akiwa na nyenzo nzuri tu kiufundi aliifunguwa machine(mimi nimebobea katika fani ya electronics).Alichofanya ni kugusagusa na kuzipapasa waya zilizoko na...
  6. C

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    simple arithmetic.masisiem walisha dilute heshima ya ikulu sasa wanona any dick tom and harry anaweza.in so doing lazima kunyanganyana kuwepoSO GOES THE SAYING"THE BASIC HUMAN NATURE IS SELFISHNESS' and that IN THE LAND OF THE BLIND THE ONE EYED MUST BE KINGMPO WATANZANIA WENZANGU ?
  7. C

    Ni upi uwezo wa kutoa speech Kingereza kwa watia nia urais 2015

    darasa na kiingereza-​the answer is obvious mtanzania mwenzangu!Hicho kiswanglish chetu tu kinatupa shida seuse?
  8. C

    Tafsiri ya kaulimbiu ya "Safari ya Matumaini" ni kiashiria cha kutokuwa na uhakika!

    Wazungu wana msemo wao "IN WAR NEVER UNDERESTIMATE AN ENEMY"Huyu bw alikuwa na uthubutu wa kumwingia mzee mchonga akamfanyie kampeni(amsafishe)jimboni kwake IN LIEU of kumharibia jina kwenye URAHISI. Kwa jinsi alivyowekeza hususani jezi za jogging na mapipa ya gongo kwa vijana wetu.Milungula...
  9. C

    Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    ndugu zangu,hapa ndipo sisi watu wa BONGOLALALAND tunapokosea kwa kujifurahisha ati nikosa dogo tu.na haya ndo yaliotufikisha elimu yetu kuwa questionable.kama mwl mmoja akifanikiwa kupotosha vijana 45 waz de end result?ok let's opt 4 kiswahili if we dare!
  10. C

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Kwani uongo?angalia majoka yenye makengeza yanachofanya!ati suti ikafuliwe ulaya badala anunue vifaa vya kufulia si ndoo ufara wenyewe?FOOLS DIE(Mario Puzzo)
  11. C

    Maaskofu ndio wasaliti

    Amekuambia yeye ni ROMAN CATHOLIC kwa hiyo usione ajabu kwa anayoyasema.Yuko Tz by accident!
  12. C

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Ocampo 4 nimekusoma unaonekana kujuwa mengi lakini unakumbuka nukuu moja ya mwl JK alipokaripia "MTU HUWEZI KUTOA MAAMUZI BAADA YA KUSHAURIWA NA MKEO CHUMBANI"alikuwa anamsema kiongozi mmoja.unamjuwa.sasa kwa hali hiyo haiingii akilini mama Maria akawa na hizo crucial info za serikali au za...
  13. C

    Tuitazame Falsafa ya Kauli ya Askofu Pengo

    Na huyu Gwajima anam-represent nani hasa? Hajanunuliwa na ze boys ll men?
Back
Top Bottom