Kikwete tutakukumbuka kwa BVR

Kikwete tutakukumbuka kwa BVR

BVR!Nimeshangazwa na nilichokiona wakati wa kupewa kitambulisho cha bei mbaya.Ni baada ya ku-scan watu wawili mtambo uligoma.Mhusika mmoja akiwa na nyenzo nzuri tu kiufundi aliifunguwa machine(mimi nimebobea katika fani ya electronics).Alichofanya ni kugusagusa na kuzipapasa waya zilizoko na akafunga machine ambayo hata hivyo haikumweshimu.Licha ya outmodel hizo machine ni kwa soko la nchi za baridi design yake ni ndani ya box gubigubi.Mafundi wetu/wao wangeweza kukata mabox ili hewa ipite kirahisi na kuongeza cooling/extractor fans ingesaidia sana.
Sasa njoo kwenye utumiaji ni majanga mengine.Ati mtambo unachaguwa alama za vidole na kwa visingizio lukuki mtanzania anatakiwa arudi nyumbani akabadilishe viuongo vyake ili machine ivikubali wapi na wapi!Sikuona hilo nilipopewa pasi ya nchi wala sikuliona kwenye vitambulisho vya uraia.KWA HILI JK AJUWE AMEINGIZWA MKENGE.
Upigaji.Hapa ndiyo funga kazi.Picha siyo za rangi(outdated)badala ya kufocus sura ya image wataalamu wetu wameelekezwa kuchukuwa nusu ya kiwiliwili.kwa space na saizi kitambilisho identi ya mtu inakuwa kwa scale ndogo sana.Pengine hii ni kwa ajili ya kufunga magoli ya mkono na hata hivyo hayo magoli kwa gharama kubwa kiasi hicho?Dear bleeding ​TANZANIA! ! !



 
Mnamngeza ndio maana mnaamka SAA kumi usiku kwenda kujiandikisha
 
Back
Top Bottom