Mr. Mak ni kama hauna kazi ya kufanya, udini unaoongea uko wapi hapa nchini kwetu mbona Wakristo wamepanga kwenye nyumba za Waislam vivyo hivyo kwa Waislam. Misiba inaudhuria bila kujali imani za kidini. Tazama ilivyo vema na kupendeza Kikwete mwenyewe leo ameudhuria kusimikwa kwa baba Askofu...
Hii ni neema kwa Wakatoliki wote kwani Mungu hapendelei ametoa babu Loliondo kwa walutheri. Na sisi wakatoliki tumshukru Mwenyezi Mungu kwa kutufunulia dawa huko Rombo. Tumsifu Yesu Kristu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.