Chadema yatoa tamko kali wakati UVCCM wakizidi kuvurugana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yatoa tamko kali wakati UVCCM wakizidi kuvurugana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanza_kwetu, Mar 20, 2011.

 1. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Source ni TBC1 habari kwa ufupi saa moja kamili. Nasubiria saa mbili kujua kinachoendelea
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  subiri hadi saa mbili nitachangia
   
 3. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kama huna cha kuandika kaa kimya? hilo tamko liko wapi?
   
 4. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tujulisheni tulio mbali hilo tamko pls!!!
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
 6. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  source TBC1 umeelezwa (Mhutasari)-subiri saa mbili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wametoa tamko la kupinga kubadilisha sheria ya manunuzi ya umma ambayo inalenga kutaka kununua mitambo ya umeme ambayo wamedai ni chakavu hawajasema mitambo ipi. Wamesema wakibadili watapinga ndani na nje ya bunge kwa nguvu zote. Mwenye full story aweke jamvini. Au Dada regia mtema atusaidie kwa hili. Source ch10 habari sa1 jioni.
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,777
  Trophy Points: 280
  Vema sana wanamageu wakikaa kitako lazma wainuke na maadhimio yenye mafaa kwa wa tz
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,777
  Trophy Points: 280
  Nitachangia zaid saa mbIil
   
 10. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  tamko-chadema yakanusha kutaka kuitoa serikali iliyoko madarakani kwa nguvu
   
 11. k

  kayumba JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sijaona tamko kali mbona au wame-edit kama kawaida yao!
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,777
  Trophy Points: 280
  Yap tamko lenye mashiko lakini je tamko la UVCCM ni lakupindua serikali au chama?
   
 13. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kashaga unaroho ngumu
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Misimamo ya kueleweka kwa nia ya kutetea MASLAHI YA UMMA NA TAIFA KWA UJUMLA NDIO HUU HAPA; na ole wake CCM wakalete huu upuuzi bungeni eti tu kwa sababu Zitto na Cheyo ni wenyeviti bandia watapitisha tu kwenye kamati zao.

  Nasema TUTAKUFA BARABARANI juu ya janja hizi za kutaka kupindisha sheria ili tulazimishwe kununua mitumba ya matapeli Dowans!!

  Kumbe ndio maana Kabwe, Lowassa na January Makamba wako bize hivi kumbe yote ni kuandaa mazingira ya ufisadi zaidi??? JK hili likijitokeza tu chini ya usimamizi yako ujue kilio cha mmbwa tu!!
   
 15. c

  chikombe Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawajatoa tamko kali ila ni utekelezaji wa kawaida wa kazi za chama peoples power
   
 16. m

  mzambia JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Acha uzembe wewe..CCM ndio wanatoa matamko ya maana? tena hao ndio uchafu kabisa.....................
   
 18. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  sasa tumeshachoka na matamko na waraka wenu!!! tukutane tena 2015!!!
   
Loading...