Ni 1385 . Jumla samaki walikuwa 2000 laiti wangefika salama faida ingekuwepo mkuu!! Hata ni jumlishe cost zote hasara ingekuwepo kwa sababu hapo kuna samaki wamevunjika pia bei aliyo nunulia kila samaki 650 kwa bei ya jumla 1385*650=900250
Mkuu ninacho sema ni kweli pia kama umeamuwa ni support ni support hata kwa mawazo tu ila ukiona kunisupport na pesa pia nitashukru.maana unaweza ona kama nimekuja kuomba pesa kwa watu humu kwenye platform kubwa kama hii
Biashara hizi za sokoni mala nyingi unaweza fanya biashara na mtu ambaye humjui kwa sura ila mizigo anapokea ana uza na pesa anakutumia pia unakuta kuna mmoja ndo anamfahamu huyo mtu ndo anaweza kukuunganisha na wewe ukatuma mzigo akaupokea na akukutumia pesa yako ila utapeli upo!!! Pia kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.