Recent content by chikoki

  1. chikoki

    Gari inauzwa mil 5.3

    Mi natafuta ist namba yoyote c au d vibali valid,iwe inyooke mziki nk.
  2. chikoki

    Niko njia panda

    Yeyeto ambaye amepevuka kia saikolojia, hukubali mabadiliko...
  3. chikoki

    Kwa kasi hii ya Magufuli, Upinzani unakuwa kama ndo unaanza!

    Hakuna jipu lilotumbuliwa vyote ni vipele.. Ajaribu hta kuwahoji tuu mawazir wastaafu uone na wao watakavomlipua,hvi wizara inawezaje kuboronga n wazir akabaki salama??
  4. chikoki

    Kwa kasi hii ya Magufuli, Upinzani unakuwa kama ndo unaanza!

    Mi naona ssi watz ni wepesi wa kusahau na ni watu tusio na mawaz binafsi bali tegemez, ni wakuyuyumba tusiojua tunatak nn..chips kavu 1500,maji nayo juu na bado
  5. chikoki

    Rais mstaafu Kikwete aibukia Uingereza: Atunukiwa Heshima ya (CPTM)

    Labda ameenda kwa gharama zake au amejaza ile form na imepitishwa au ninlazima aende yye na balozi hawez kumuwakilisha au watoa tunzo wamegharamia hivo tusubir msemaji wa... Atuambie
  6. chikoki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar amsihi Manji kuachia ufukwe wa Coco Beach

    Ssa ndgu rc alikuwa wap siku zote??? Je waliotia saini mktaba huo ni akinan? Na wapo wap Mambo magumu kwelikweli
  7. chikoki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar amsihi Manji kuachia ufukwe wa Coco Beach

    Lakina huyu manji c diwani kule mbgala kwa tiketi ya chamachangu
  8. chikoki

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Mi nimemuelewa mtoa mada,japo nnaukakasi kidogo juu ya hoja yake ila nipo upande wake, kiufupi serikali inataka kujificha nyuma ya shule binafsi ili ionekane inajali elimu kwa ada elekezi, iboreshe shule zake hizo zenyewe zitakufa kifo cha asili kama yalivokufa mashirika ya umma na mengne...
  9. chikoki

    Jestina George wa Zurii nae tunduni, halipi kodi duka lake liko kizuizini

    Mi naona tra kama vile walikata tamaaa fikir wwe unakusany hela wenzio wanatumbua, bhas na wao wakajiongeza kiufup kila mtu alikuwa anafany yake
  10. chikoki

    Wachina Kariakoo wanakwepa kodi sijapata kuona

    Mmi walitaka kunipiga na vibarak wao
Back
Top Bottom