Mleta maada una upeo mfup sana kwenye kutengeneza hoja, nan aliyekwambia kuwa lowasa kaaminiwa Kwa siku3 Na wakat watu wamekaa vikao zaid ya wiki2, ndio akajwa kutangazwa m2, Kwa upande wa slaa mtasubiri sana yy kujotoa chadema
Hlo ndio tatizo lenu mnapenda kuchukua makombe hku mnacheza karate uwanjan badala ya mpira, raha ya mpira ni ushindi plus mchezo mzur, ila hyo special one anapendwa zaid na mashabik wa Chelsea coz wana uhaba wa makombe ya lig kuu, ngoja wakiwanayo meng kama man u utaona kama hawajamtimua na...
Nikirud kwa yule m2 anayemcompare LVG na DM, cjui anatumia fact gan bt LVG ni best manager in the world coz anaipa timu ushindi na kucheza mpira wa burudan, kamwe hauwez mfananisha na kina mourinho na yatakuwa ni matuc makubwa sana kwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.