Aisee!!!!!!!!!
Sikiliza nikwambie, isiishi kwakuongozwa na hisia,
Sitaki kutenda dhambi, baba yake mtoto anampenda mtoto wake kuliko unavyofikiria, kwa hilo sina shaka, tatizo mtoto analelewa kwao na yeye yupo hapo kwao sababu anawaangalia pia wazazi wake, tatizo ni waangalizi wa mtoto pale...