Wanaume tuheshimiane

Wanaume tuheshimiane

Status
Not open for further replies.
KWA HIYO SIO TATIZO KWA MTOTO WAKO WA KIKEE KUOSHWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA MWANAUME? TENA MTU BAKI?

OOOOKAAAAAAY!! Basi atazidi tu kukutukana saana tuu.

Kama baba yako aliweza kumzuiaaikuoe basi asingeshindwa kumzuia kufanya fujo kama mtoto angekaa kwenu
SIO TATIZO KWA MTOTO WAKO KULALA NA KIJANA WA MIAKA 24?

Mwaume nae mzazi na anahaki ya kukaa na mtoto wake kama anaaminiwa anaweza kukaa nae, zaidi hayo masuala mengine mimi sijayashuhudia ila niliambiwa na mtoto na nilihakikisha nimemwambia ili achukue hatue.

Baba yangu hajazaa na mimi kiasi chakuanza kumkatalia mtu mtoto wake, mtu mwenye akili timamu na ameenda shule anajua uchungu wa mwanae angewezaje kumkatalia?????

Kuna wanaume wangapi wanalea watoto wao?? mimi wa kwanza kuingia labour kadunia hii khaaa!!!!!!!!!
 
Aisee!!!!!!!!!

Sikiliza nikwambie, isiishi kwakuongozwa na hisia,

Sitaki kutenda dhambi, baba yake mtoto anampenda mtoto wake kuliko unavyofikiria, kwa hilo sina shaka, tatizo mtoto analelewa kwao na yeye yupo hapo kwao sababu anawaangalia pia wazazi wake, tatizo ni waangalizi wa mtoto pale yeye anakuwa kazini na pia nadhani hata familia inatokea kuaminiana ndio maana mtoto anaweza kuachiwa mtoto wa kiume wao wakaona sawa, na ukisema unaonekana unawangilia, zaidi hana shida kabisa na mtoto na muda mwingi huwa na mwanae.

Mimi silalamiki yeye kuwa mtoto, kwakua ni jambo ambalo sina shaka nalo na soon litakuwa ndani ya uwezo wangu. ila ninalalamikia msg za matusi tu. nadhani umeelewa sasa.

Mimi nimekuelewa bwana...kila la heri katika masomo yako bibie...

Jambo la msingi,usiasahau kumpigia kura Mh Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ifikapo siku ya uchaguzi...October 25,mwaka huu.


ahsante.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom