Recent content by chikaputula

  1. C

    Namtafuta Stella Bosco

    Labda anatumia jina jingine?
  2. C

    Nikimpata naoa.

    sio mbaya kufahamiana.
  3. C

    Nikimpata naoa.

    amina mkuu
  4. C

    Nikimpata naoa.

    asante mkwe.
  5. C

    Nikimpata naoa.

    -nina umri wa miaka 32. -ni mkristu mkatoliki -ni muajiriwa wa kampuni fulani ya madawa ya mifugo na kilimo. -nipo morogoro mjini. -nina ufupi wa sm 158 na ni mnene kiasi. -ni mweusi ila si sana NINATAFUTA MSICHANA WA KUOA MWENYE SIFA ZIFUATAZO. -awe mkristu mkatoliki...
  6. C

    Nyimbo za Kiluga

    che nihyomi ne lelu, che nihyomi ne lelu ivya nga nihyomi golo,nga nikomi mundu ivya nga nihyomi golo ne nga nikomi munduuu.
  7. C

    Jiandaeni anakuja tanzania.

    Tungempokea lakini daah,mkara bwana. (In nyerere's voice)
  8. C

    Msaada juu ya kupata ajira kutokana na vigezo hivi nilivotoa

    wakuu mbona mmenisusa nimewakosea nini?
  9. C

    Hii ndio pumzi ya mwisho ya CCM

    haya tusubiri tuone.
  10. C

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    issue inakuja nani atasimama kwa presidential post.
  11. C

    Nifanyeje?

    Wakuu,kwa wale wanaojua kuhusiana na mitihani ya weledi ya bodi ya ugavi(procurements) naomba wanijuze, -kwa mtu aliyeishia kidato cha nne na ana matokeo ya daraja la tatu anaanza kwa kufanya mitihani ya stage gani? -vipi kuhusu gharama(gharama za kulipia mitihani na mengineyo? -kwa...
  12. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sio ajira mpya,njoo mbeya jiji huyu aje morogoro manispaa elimu ya msingi.
  13. C

    Natafuta kazi...

    Wakuu, nina diploma ya uhasibu, niliwahi kufanya kazi katika SACCO moja huko jijini mbeya kama teller, front office personel na loan officer ila kutokana na sababu za kifamilia zilizoshindwa kuzuilika kwa wakati huo nikasimama kufanya kazi. Nina ujuzi na uzoefu pia katika, .ms word .ms excel...
Back
Top Bottom