Nikimpata naoa.

Nikimpata naoa.

-nina umri wa miaka 32.

-ni mkristu mkatoliki

-ni muajiriwa wa kampuni fulani ya madawa ya mifugo na kilimo.

-nipo morogoro mjini.

-nina ufupi wa sm 158 na ni mnene kiasi.

-ni mweusi ila si sana

NINATAFUTA MSICHANA WA KUOA MWENYE SIFA ZIFUATAZO.

-awe mkristu mkatoliki

-awe na umri wa kati ya miaka 25-30

-awe anayejitambua na mchapakazi mwenye kujituma pasipo kusimamiwa.

-awe tayari kufunga ndoa mapema iwezekanavyo na kuishi popote tanzania.

-awe mweusi au maji ya kunde na kama ni mweupe awe wa asili(asiwe wa kujichubua)


KWA YEYOTE ALIYE TAYARI TUWASILIANE KWA PM.

Miaka 32 hujaoa? Mkuu ulikuwa umekalia kupiga MGALALA??
 
Hivi huwa mnatutania ama!! Mbona humu ndani kuna post ya mdada (Ummylove) anatafuta mume, na sasa upo wewe unasaka mke, ebu mtuambie; mmekwishawasiliana hamuendani au mnatuchora tu!!!
 
ok, got u, kuna mmoja yuko corner bar sinza, nikimwona nitamweleza..
 
Back
Top Bottom