Recent content by CHIKAMBAKU

  1. CHIKAMBAKU

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Dah tanesco noma siku za kazi 60 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante nasubiri Sent using Jamii Forums mobile app
  3. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Mi mkazi wa mshangano manispaa ya songea tatizo langu ni kuhusu kuingiziwa umeme process zote nimeshamaliza ambapo mpaka wapimaji washapima inahitajika nguzo moja. Swali langu je Mimi nitahudumiwa lini maana naona muda unapita tu ila naona majirani wanaingiziwa umeme( wa ndani ya mita...
  4. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Fafanua Basi hizo awamu inakuwaje ili sisi wengine wa kuunga unga Kama tuna laki mbili tunaweka moja pia tunaweka ili Kama ni ndani ya miezi 3 mtu unamaliza na umeme unakula mi Nina uhitaji huo ila Nina laki 320000/= Kinachonishinda ni laki 2 za nguzo So kwa awamu Kama inawezekana nisaidie...
  5. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asanteni kwa huduma tayari nimefungiwa meter mpya kwa hiyo wazungu nawaangali shukrani Sana Mpo vizuri aisee
  6. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sasa jamani tanesco vipi mbona kimya mafundi wamekuja juzi wameangalia wamesema wanatoa taarifa kitengo Cha mita baadaa ya hapo kimyaaa hata kuambiwa lini nitawasha taa dah naomba msaada basi hiyo mita nibadilishiwe mapema maana nakata wiki Sasa sina umemee Mita 43002355196 Songea mjini Kata...
  7. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Naomba kusaidiwa katika mita namba 43002355196 Kuna baadhi ya namba katika mita hazifanyi kazi na hivyo kufanya kazi ya kuingiza umeme wa luku kuwa ngumu kila nikijaribu ninakaa na giza siku ya nne leo Nipo Mkoa wa ruvuma songea mjini Kata msamala Mtaa ostabey Karibu na office ya...
  8. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    asante nimeona kuwa taarifa mmepokea nimetaarifiwa watakuja kesho
  9. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba yangu 0767309201 Email wakunyumba@gmail.com
  10. CHIKAMBAKU

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jamani tanesco vipi mbona nimejaza form wiki nne zimepita Sasa na mkandarasi asharudisha form huko ofisini kwenu Sasa hizo gharama mtanijulisha lini Mimi nipo songea manispaaa kata mshangano block namba b karibu na godown la chimgege jamani nisaidieni au mnataka hela niimalizee?
  11. CHIKAMBAKU

    Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Naenda kuanza mchakato wa kuingiza umeme nyie tanesco. Tunaanza kuhesabu siku pamoja ili tuone
  12. CHIKAMBAKU

    Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

    Duh aisee voda kweli mmetuchoka
Back
Top Bottom