Recent content by Chigwa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri Dodoma leo!!

    Siku zote mtu anaetembea na nyundo huhisi vitu vyote ni msumli, hivyo mimi sishangai.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

    Poleni sana wananchi wa kijiji hicho naamini mlio wapa taarifa wamezipata.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

    hawa ndio watz, mtu kesema ukweli kuwa tunaomba vifaa tiba, leo unasema eti nimmoja ya watu walichangia mgomo! Kweli omba mungu akupe akili.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Kama Lowassa angekuwa rais, MCC wasingeweka pembeni faili la Tanzania

    mtoa mada naamini umeona jinsi vichwa vya wachangiaji wachache wanao amini wanaweza kufanikiwa kama wao, ifamike hata leo ufungue biashara yako kubwa ya mapesa mengi hakika utawategemea wateja wanaokuja kwa kununua kiasi kidogo cha mtaji wako, nina maanisha wanadamu tunategemeana na mataifa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    pole sana kwa ufahamu wako mlefu kwenda chini ewe wakimataifa.
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tujirekekebishe kwa haya...

    hongera kwa mawazo na ushauri ulio tukuka sana naamini niwasikivu watachua yote na kuyafanyia kazi.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    kama ni kweli kwa hayo unayo yazungumzia basi ili niamini naomba arudishe maduka ya ujamaa, na shule zote za watu binafsi apole ziludi serikalini, na kama hawezi naomba usimfananishe na mchonga, kwakuwa mchonga aliyaweza, nae hawezi kuvaa hicho kiatu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Mzee Mtei yafifia na kutoweka kabisa

    kumbe kilianza na wabunge 70, na sasa kina mbunge mmoja! Lkn huo ni mtazamo wako.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli na Tanzania mpya

    ndugu Tanzania mpya yenye jamhuli ya muungano wa Tanganyika na Malawi au unamaanisha nn? Mm na walio wengi hatuoni hiyo Tanzania mpya.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    hao aliyo wachagua wanatosha kabisa kuwakilisha taifa letu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania jamani Magufuli atutesa wanasiasa msaada wenu

    pia mfahamu haya ndiyo maisha baada ya uchaguzi, kumbe mlikuwa hamjafamu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania jamani Magufuli atutesa wanasiasa msaada wenu

    hapa kazi tuu.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Sumaye wana madaraka yapi CHADEMA?

    Lowasa ni Rais kivuli.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ethiopia nao washatupita, Kwanini Tanzania tunaendekeza siasa?

    tatizo kale ka wimbo ka mbele kwa mbele.
  15. C

    JamiiForums Tanzania hongera magufuli.

    nikupongeze kwa mwendelezo wa kampeni zako ingawa kwa upande wangu bado hujanishawishi kwakuwa unaoambatana nao bado wanamaneno yenye kukera, mfano mkutano wako wa leo wa Babati, kuna mmoja wa wasemaji wako alisema chama chako ni njia kuu na vyama vingine ni mchepuko na huko kuna ukimwi, nawe...
Back
Top Bottom