Hiyo kitu km haujazoea n noma sana wakat nipo chuon nlipga kademu mpaka kakanisukuma maana yeye kachoka lakn mm sisikii kitu chochote ucku kucha lakn hamna ktu mpk mbupu zikaanza kuuma kwa kupga pump kwa nguvu ili nkojoe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha mambo yako makahaba walianza miaka hiyo tangu za Bwana Yesu huko unataka kusema walikua wanawatumia kwa ajili ya kutengeneza watoto??? na hawakuwa na uzazi wa mpango Wala vitu hvyo ulvyosema ...
Tendo la ndoa n Ibada kwa walio na ndoa wasio na ndoa ni dhambi km dhambi nyingine
1.crown waliwaita hao watoto..?
2.hao watoto hawana wazazi ..?
3.rufiji hakuna serikali au watu wanaojua kuwa watoto hawaruhusiwi kwenye matamasha ya usiku..?
Siyo Hilo tu mashirika yote tena yameongeza hasara sasa hv Kila mwaka wanaongeza hasara Hela zetu zinapotea tu
Kwa maana nyingine hao walioko kwenye vitengo wanatakiwa wapishe watu wengine wafanye hizo kazi
Wanacheza na freelancers kupata NIDA number then wanapga huduma kwa wateja kureset PIN ya kutolea sababu taarifa zote atakazoulizwa tayar anakua nazo ni rahisi hvyo
Daaah.. Safi sana wajomba ukiona tundu toboa mengine yatakuja mbele huko mbona wao wanapga mahela mengi kwa mikataba ambayo haieleweki na mtatoka tu wajomba maana waliowashtaki nao wezi wanaitaman hela hiyo hiyo mgawane
Haiwez kuwa sawa kulingana na power ya hizo engine ya V8 ina nguvu kubwa msukumo mkubwa kuliko Passo pamoja na ukubwa wa tairi hiyo n fact nyingine tena ndio maana mwenye bus kubwa akitembea 120 wewe mwenye gari ndogo kumshika mpaka ukanyage 150 kuendelea kutokana na gari yako.
Iliwahi...
Ndio maana wataifa makubwa yanatuambia kitu pekee tulichokishika waafrika ni dini kuliko hata wao wenyewe waliotuletea dini hizo ukiangalia Elimu yetu shida, Afya shida, Miundo mbinu shida, Uongozi shida kila kitu kwetu ni balaa lakini kushika na kutetea hizi dini za kuletwa kwa njia ya maji...
Wewe jamaa mbona km unaleta uchochez usio na maana, taadifa yako inasema mkutano wa TLS na waandishi wa habari wa ndani na nje wakat TLS wenyewe wanasema mkutano wa wananchi kujadili na kutoa suluhisho juu ya Raia Tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.