Recent content by Chifu Nsyepa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Siku zinayoyoma siioni ile Bombadia yetu iliyotiwa korokoroni Canada,naona umwagaji damu tu nchini

    Naona tusahau Bombardier mpaka zilipiwe kwanza madeni ya konoike na wenzie
  2. C

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tuhuma za Tundu Lissu, kuhusu Kufukuzwa kwa Mkurugenzi Azimina Mbilinyi

    Na kwa nini tuamini anachokisema yeye?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jaji Mtungi inabidi tukae kikao! Yamemshinda

    Kabisa! Amedhalilisha taaluma ya uanasheria bobezi kwa kulinda maslahi ya serikali ya ccm!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwangosi

    Sina hakika sana na hili labda wataalamu wa sheria watuambie tafadhali!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwangosi

    Labda hufahamu kuwa kesi ile ni ya Jamuhuri hivyo mtu binafsi hawezi kukata rufaa. Ukakasi upo ktk hukumu ile, bila shaka upande wa mashitaka (Jamuhuri) na upande wa utetezi (serikali) wamepika hiyo hukumu. Ndio matunda ya kesi ya nyani inapoamuliwa Ngedere!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jaji Mtungi inabidi tukae kikao! Yamemshinda

    Mutungi anaogopa kumwaga unga maana yule bwana usipoipendelea Ccm anakufukuza kazi.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Ningefukuza nusu ya wote ndani ya siku moja kama wangeniimbia eti wana imani na mtu fulani

    Kwa wakati ule aliposema "Ningewapoteza" ungeona sura yake usingefikiri alimaanisha kuwafukuza. Mimi naamini alimaanisha zaidi ya kuwafukuza!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Ningefukuza nusu ya wote ndani ya siku moja kama wangeniimbia eti wana imani na mtu fulani

    Maneno hayo[emoji115] ungewaambia viongozi wako jana maana Lowassa na Sumaye walikuwa ajenda kuu jana wakati hawamo ktk chama cha mizengwe (mafisadi)
  9. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Ningefukuza nusu ya wote ndani ya siku moja kama wangeniimbia eti wana imani na mtu fulani

    "Nasema kwa dhati kabisa, Mheshimiwa mwenyekiti mstaafu, kuwa huo moyo wa uvumilivu ulionao, sidhani kama mimi ninao" Jpm "Nakumbuka siku ile wanaimba eti wana imani na mtu fulani, ningekuwa mimi ndio mwenyekiti, robo au nusu wangepotea" "Nawaomba sana ndugu wajumbe, mniombee nipate angalau...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

    Hay ni mazoea huku mkiendelea kuikanyaga katiba yenu wenyewe
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wanachotaka ni wao wasikike lakini sio wapinzani

    Nafikiri maneno haya ungemwambia Mkapa maana hajui siasa za ushindani ndio sababu akawatusi wanaume wa Lindi kwa kuwaambia "kama mnataka mabadiliko bebeni mimba" kisa hawakuujaza mkutano wa Ccm Lindi. Awali aliwaita waTanzania wataka mabadiliko "malofa na wapumbavu" kwa ushahidi huu nani...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wanachotaka ni wao wasikike lakini sio wapinzani

    Haya maneno ya "upinzani bado sana" tumekuwa tukiyasikia kwa karibu miaka 30 sasa, kinachoshangaza pamoja na kukosa kwao utayari lakini wanaongeza viti bungeni[emoji4][emoji4][emoji4]. Na kama ktk uchanga wao huu watawala wanawaogopa kwa kuwazuia wasiandamane wala wasikutane na wananchi ktk...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira apinga baadhi ya wapinzani kususia mwaliko wa CCM Dodoma

    Mimi naomba mtu yeyote anioneshe video ya mashabiki wa Liverpool wakiishangilia Man United ikicheza na Juventus, eti tu kwa kuwa Man United ni waingereza wenzao! Never ever! Na sababu kubwa ya wawili hao kuombeana mabaya ni kuwa mmoja wao akishinda humtambia mwenzie. Hata hapa kwetu Yanga...
Back
Top Bottom