Recent content by ChiefSkin

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba changa kutapika nini dawa yake.?

    atumie dawa inaitwa NOSIC ya wajawazito. inapatikana pharmacy. asubuhi anameza kimoja na jioni kimoja. kutapika itakua historia. my wife ndio anatumia for 5 months now.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ubora wa simu aina ya samsung galaxy note 3

    Iyo simu ni jiwe mwaka tatu huu nasonga nayo. Ishadondoka zaidi ya mara mia ila iko fiti bado. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Z o99099cC 00
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua paypal account inayopokea pesa hapa Tanzania

    Tumia western union online iko cheap zaidi kuliko mtu akutumie kupitia bank
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Yeah kibanda kipo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Ninauza kiwanja changu kipo vikindu eneo linaitwa kazole kilomita saba kutoka barabara ya lami. Kina msingi wa master na chumba kingine. Yapo matofali zaidi ya mia mbili. Kiwanja kina ukubwa wa futi mia kwa futi 60. Gari inafika mpaka kwenye kiwanja. Kipo kwenye mpangilio wa mitaa. Bei milioni...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uzi huu maalum wa kujipatia hela kwa kutumia maarifa yako

    Mkuu pyongyang kama uko vizuri nicheki tufanye kazi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wamama wa Mtwara huwatengeneza shape watoto wa kike pindi wanapozaliwa?

    Yeah ni kweli. Wanachofanya wakiwa wachanga wanawanyoosha viungo vyao kwa mafuta uku eneo la tako wakilivuta juu. Ivyo wanatengeneza kama kimlima ivi ndio maana wengi wao wana vitako mbinuko. Naona binti yangu kila siku bibi yake upande wa mama anamfanyia ivyo. Na wife nae mashaalah kimlima kipo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nimezama kwa Bar Maid

    kijana fuata moyo wako kama qualities za kua mke anazo basi oa tu. mimi nimeoa mwanamke wa ivyo alikua anafanya kazi basi na sasa tuko ndani ya ndoa 3 years na tumebalikiwa binti mrembo sana. ivyo kufanya kazi bar kusikutishe kwasababu wengine wanafanya kutokana na life ngumu ila sio mapenzi yao
  10. C

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya serikali vinauzwa Kigamboni

    Toangoma- kigamboni 1. Block 2, 1339 square meter, bei milioni 50, ila maelewano yapo – kina hati miliki 2. Block 1, 700 square meter, bei milioni 40, ila maelewano yapo-kina hati miliki 3. Block 1, 1900 square meter, bei milioni 80,ila maelewano yapo, kina hati miliki 4...
  11. C

    JamiiForums Tanzania viwanja vinauzwa bei nafuu kigamboni

    viwanja vyenye ukubwa wa mita za mraba 400 na kuendelea vinauzwa kigamboni toangoma kuanzia milioni nne na nusu na kuendelea. viwanja vipo katika mpangilio na gari inafika katika viwanja vyote. vipo katika mpangilio mzuri. kwa mawasiliano zaidi piga 0654229460 au niandikie whatsapp 0755040485
  12. C

    JamiiForums Tanzania nyumba mbalimbali zinauzwa kigamboni Toangoma

    NYUMBA ZIPO ZA UBORA NA UKUBWA TOFAUTI ZINAUZWA MAENEO YA KIGAMBONI TOANGOMA. ZIPO ZENYE HATI MILIKI NA ZISIZO NA HATI. BEI YA NYUMBA INAANZIA MILIONI 35 NA KUENDELEA. NYUMBA AMBAZO ZIKO CHINI YA MILIONI 35 PIA ZIPO KWA SASA NYUMBA ZIPO ZA MILIONI 35, 60, 70, 180, 500. DETAILS ZA NYUMBA HUSIKA...
  13. C

    JamiiForums Tanzania nyumba inauzwa kigamboni dsm

    nyumba ipo kigamboni Toangoma dsm mita 150 kutoka barabara ya lami. bei ni milioni 35 ila maelewano yapo ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kina masterroom ina sebule ina jiko ina dinning room nyumba imekamilika inahitaji maboresho madogo tu. kwa mawasiliano zaidi piga 0654229460 au...
  14. C

    JamiiForums Tanzania viwanja vizuri vinauzwa kigamboni

    KIGAMBONI TOANGOMA Viwanja vipo kuanzia milioni nne na nusu na kuendelea 1. Mita za mraba (meter square) = 845, bei milioni 18 2. Mita za mraba (meter square) = 750, bei milioni 15 3. Mita za mraba (meter square) = 780, bei milioni 13 4. Mita za mraba (meter square) =...
Back
Top Bottom