Recent content by chief1

  1. chief1

    Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

    Hapo kwenye zaidi ya papuchi fafanua kidogo mkuu
  2. chief1

    Ni mambo gani uliwahi kuona kanisani kwako ya kakuacha mdomo wazi? Mimi kuzikwa mifupa ya mwanzilishi wa kanisa hilo mimbarini

    Mkuu hayo ni mambo ya kabisa katoliki, ukiona kabisa Linaitwa parokia ya mtakatifu "yuda thadei" ujue Kuna mifupa ya huyo mtakatifu altareni, huo ni upagani kama upagani mwingine eg kuombea wafu,kuabudu sanamu nk.. Kuna vingi vinafanyika kinyume na biblia,
  3. chief1

    Shamba linauzwa lipo njombe yakobi

    Km ngapi kutoka mjini?
  4. chief1

    TV4Sale Jipatie Smart TV kwa bei ya kiwandani

    Bado zipo mkuu, kwa bei hiyo inabidi nifungue duka huku Arusha unietee mzigo
  5. chief1

    Xi JinPing: China Kuijenga Tanzania Kuwa Mfano na Kielekezo Cha Ushirikiano wa Kimkakati wa China & Africa kwenye Miundombinu "Belt and Road Iniative"

    Ni lini viongozi wa kiafrica watagundua kwamba hii mikopo ya nchi za magharibi na uchina inalenga kututawala na kutuibia rasilimali zetu?
  6. chief1

    Ushauri: Mpenzi wangu ni mkimya kupita kiasi

    Mkuu una bahati sana kupata mwanamke mkimya huyo oa fasta, hawa chiriku wanaumiza vichwa sana, wanaongea mpaka kero.. kifupi wanaongea kama wamemeza flash, Kuna maneno wanaongea yanachoma kama pasi, ukimuacha huyo utakujuta sana, au niunganishie mm
  7. chief1

    Rafiki yangu anasumbuliwa na vipele hivi. Vilianzia mapajani vimefika mpaka kwenye uume

    Kanunue dawa inaitwa SKDERM CREAM, ni ya kupaka utanishukuru baadae
  8. chief1

    Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Okay, hata Arusha airport pia huwezi linganisha na Dodoma, let us be realistic, pale Kuna connection nyingi sana za Serengeti, Zanzibar
  9. chief1

    Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Hahahaha sasa Dodoma Kuna miruko ulinganishe na KIA? Kumbe Kuna watu hawajielewi humu
  10. chief1

    Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Kwahiyo na huko dar watu waarusha wameshaleta ukabila kwenye biashara? Maana wamejaa huko! Mbona Kuna watu kibao wameingia Arusha hawana kitu na wamekuwa mamilionea, au mnazungumzia biashara za kioski? Nyumba ya vyumba vitatu Arusha kwa 150,000 hata nduruma huipati mkuu
  11. chief1

    Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Unaishi Arusha? Ulishafanya biashara Arusha na Dodoma? Ukitaka kufanya biashara Arusha lazima uwe creative na uwekeze vizuri
  12. chief1

    Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Inawezekana ulikuja Arusha ukitegemea kutoboa kibiashara kirahisi, biashara hauko hivyo, biashara zina changamoto popote uendapo, pambana mkuu acha kulalama mitandaoni
  13. chief1

    Hali ya kiuchumi Arusha inazidi kushuka kila uchwao

    Umeongea uongo mwingi sana, kwamba mji wenye wakazi zaidi ya Million 1.5 biashara ifanyike kwa kujuana tu, labda inategemea na biashara unayofanya mkuu, kuhusu uchafu, Kuna mji mchafu kama dar?
Back
Top Bottom