Recent content by Chief lubengulla

  1. C

    News Updates: Mahakama kutangaza ubunge wa Lema baada ya siku 14.

    Naomba kujulishwa kinachoendelea mahakamani hapo dar kuhusu kesi ya ndugu lema ni hayo tu kwa sasa wana jf Hii hapa
  2. C

    Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

    Mimi nadhani wewe wakati unaandika hii habari ulikuwa chooni unajisaidia hatujui kama akili yako ipo sawa Yo Yo na inawezekana na wewe ni miongoni mwa wanaotafuna nchi hii kafikirie kwanza au kamuulize mama na baba yako aliyekuzaa unatia kichefuchefu
  3. C

    EGPAF update Interview!

    ndugu yangu uwe unazingatia tangazo la kazi linasemaje uliambiwa baada ya deadline hesabu wiki mbili zikipita hujaitwa ujue hukufikia vigezo vyao pole leo wiki ya nne toka deadline
  4. C

    Je mwenge ni stendi ya abiria au soko?

    Kama nilivyosema kiingilio pale ni TZS 50000 na ushuru wa kila Ijumaa ya wiki TZS 5000 sasa hapa kweli serikali husika watatoa tamko lolote? Jamani hawa viongozi sijui wanatumia nini kufikiri
  5. C

    Je mwenge ni stendi ya abiria au soko?

    Nimekuwa nikifuatilia shughuli zinazoendelea hapa Mwenge stendi ya Daladala cha kushangaza naona hata viongozi wako kimya niliongea na kijana mmoja mfanyabiashara akiwa amebeba meza yake ya biashara kichwani akasema mbona viongozi wa manispaa wanajua maana ukitaka upate sehemu ya kuweka angalau...
  6. C

    Je UWT au UWCCMT

    Mimi naona waitwe UWCCMT badala ya UWT hii inajumuisha wakina mama wote Tanzania tutakukuwa tunakosea kujumuisha hata wakina Mama ambao hawamo humo
  7. C

    Tume ya ajira, janga lingine kwa vijana.

    Ndugu yangu nakumbuka mwezi wa tano 2012 walitangaza nafasi zaidi ya elfu mbili ktk vitengo mbalimbali kukiwemo SIDO,NEMC n.k lakini inashangaza sana kuona wanaendelea kuinterview nafasi za hivi punde hizo zingine vp au ndo kama ulivyosema watu wameshaajiriwa kimya kimya?
  8. C

    Je UWT au UWCCMT

    Nimeanza na swali nikiwa sielewi maana halisi ya Umoja Wa wanawake Tanzania hasa ukuzingatia muda tulio nao kwa sasa tupo kwenye vyama vingi lakini cha kushangaza mama zetu ukiangalia siku ya uchaguzi wao walivalia nguo zenye rangi ya chama cha CCM yaani kijani na njano wengine mnaweza mkaleta...
  9. C

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Sisi tulio mikoani tunaomba taarifa zozote huko zanzibar na dar mambo yanaendaje jamani ahsnateni
  10. C

    Mo Ibrahim: CCM awamu ya nne yavunja record utawala bora

    A wapi danganya wana ccm wenzako wenye akili kama zako hatima yenu iko ukingoni hakuna cha raisi bora analea mafisadi wenzake na kuingia kwenye kumi bora ni danganya toto ili waendelee kuchota rasilimali zetu nakushangaa sana ndugu yangu wewe unaishi Tanzania ipi huoni,husikii yanayoendelea? Na...
  11. C

    Mo Ibrahim: CCM awamu ya nne yavunja record utawala bora

    Kaka hizo danganya toto ili waendelee kuchota maliasili zetu hakuna kitu hapo
  12. C

    CHADEMA mwendo mdundo KATA YA DARAJA MBILI- Arusha

    E bwana du inatia huruma sana acha malipo mengine Mungu atatulipa hapa hapa hapa duniani huo mkutano wa ccm and nyanya yake cuf utadhani wa ukoo Mungu saidia watu wako wakielewe vyema cdm :smash:
Back
Top Bottom