Wazee yaani usiku huu saatisa hii kuna jambo linajirudia rudia sana akilini mwangu kwa zaidi ya mwezi sasa alafu naona kabisa nitaenjoy na kufurahi sana endapo nitatimiza hilo jambo sijui kwa nini, au nimepatwa na nini sielewi...
Yani "NATAMANI SANA KUUA MTU" yani naona kabisa ninavyomkatakata...
🤣🤣🤣mwanangu umenisema mimi kabisa, yani ile hesabu ya asubuhi haijawahi kubalance kila ukiandika kwenue kalukuleta ya simu unafuta unaandika tena unafuta. Unaanza kusema lakini yule demu nilimnunulia kilimanjaro 3 tu na mimi nikanywa konyagi kubwa sasa kwenue laki mbili inakuaje nabaki na...
Natumia WIFI ya TESLA kwenye kasri langu hivyo mambo madogo madogo yanayotokea duniani nayapata kwa kweli. Na hii WIFI nilifungiwa na jamaa mmoja kutoka huko washington DC.
Wewe mtu nimekukaribisha kwangu upafahamu tayari umeshaanza mambo ya umbea hii itakusaidia nini? Ndiyo nina mitungi sita ya gesi nyumbani kwangu na yote iko full yani hapo na mtu anashangaa kabisa eti "oya.. una mitungi sita ya gesi na yote iko full" yani kaona eti hicho ni kitu cha ajabu.
Mara...
Hata sisi tulikuwa tunajibu hayo maswali na tulipoulizwa ukiwa mkubwa unataka kuwa nani tulisema engeneer ila sasa hivi ni makondakta wa magari ya posta ubungo, tegeta mbezi kimara.. Usijigambe.
Wafanya kazi wa kimalawi nawapata sana ni wezi balaa sio wakike sio wa kiume alafu wana sura innocent yani huwezi kuwazania ila subiri tukio utakalo pigwa lazima ubongo uweke SYNTAX ERROR...😅
MREJESHO..... Sikufanikiwa kuichapa ila nilifata ushauri wa wadau kuwa nitengeneze mazoea kidoogo sasa kwenye kutengeneza mazoea nikamwambia nipikie msosi basi, akainuka akaelekea jikoni nikavizia kama dakika 15 hivi na mimi huyooo nikamfata jikoni.
Nikakuta anasonga ugali nikamwambia pasha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.