Recent content by Chief Instigator

  1. C

    Rais Magufuli amewasili Salasala Jijini Dar, Kutoa pole kwa Mbowe

    Ukishafikia cheo alichofikia marehemu basi hadi siku unajufa unakuwa ni mtu wa serikali, mtu wa JWTZ. Hapo ilikuea lazima mheshimiwa Raisi aende kama Amiri jeshi mkuu na sio sababu ya kiongozi wa KUB Mh. Freeman Mbowe.
  2. C

    Msajili wa Vyama vya Siasa: Serikali ya Awamu ya 5 inachukizwa na Wapinzani wasiofuta taratibu za nchi

    Kuuliza ni makosa? Ktk bandiko kuna NCCR na NSSR. Mimi naijua NCCR ndio nikauliza NSSR ni chama gani? Huenda ni kipya sina taarifa. BTW, Kuchangia tafsiri ya gender kwenye ile topic haimaanishi mimi ni muangaliaji wa porn mzuri. Tukiwa University mwaka wa kwanza kama sikosei tulisoma hiyo mada...
  3. C

    Chia seeds bora na safi kwa bei ya nafuu

    Habari wadau? Chia bado ipo tuwasiliane. Ukinunua kilo nyingi punguzo zaidi lipo.
  4. C

    Pale unapowaacha dakika mbili peke yao...

    Mmekumbuka kido flani alimix asali lita 5 na soap kikatoka kitu amazing. Ki2 cha tabora chote kwishiney.
  5. C

    JamiiForums Usiku wa manane

    Thanks Don Clericuzio the man of your word.
  6. C

    Tumshauri Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Sijui niendelee kutema nyongo au madini? Inaweza kuwa natema mashudu tu hapa nachafua uzi.
  7. C

    Tumshauri Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Wajasiriamali wenye viwanda vidogo nilivyo gusia juu ndio wakombozi kwa maeneo ambayo wawekezaji wakubwa hawawezi kwenda kujenga viwanda kutokana na uzalishaji wa wakulima wadowadogo kuto kidhi mahitaji ya kiwanda kikubwa. Hao wakubwa wanakwepa hasara miezi ambayo watakosa malighafi(mazao)...
  8. C

    Tumshauri Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Kilio changu bank ya maendeleo ya kilimo TADB wapokee dhamana ya hati ya shamba hata kama (1) Shamba atakalo lima mkulima lipo mkoa tofauti na shamba analowekea dhamana ya mkopo. (2) Shamba linalotumika kama dhamana halina nyumba.Hili shariti sio lenye tija. Kwanini namba 1. Mtu anaweza kuwa...
  9. C

    Chia seeds bora na safi kwa bei ya nafuu

    Tukikubaliana kuhusu gharama za usafiri nakutumia. Upo mkoa gani?
  10. C

    Chia seeds bora na safi kwa bei ya nafuu

    Kupunguza unene,uzito, cholestrol, sukari ya ziada mwilini. Hupunguza na kukukinga dhidi ya matatizo mengi ya magonjwa ya moyo. Kinga dhidi ya saratani. Kuimarisha mifupa. Kufanya uonekane kijana zaidi(anti aging, antioxidation). Kwa kupunguza uzito na sukari za ziada hukufanya uongeze ufanisi...
  11. C

    Chia seeds bora na safi kwa bei ya nafuu

    Hapana hizo sina, mkuu.
  12. C

    Chia seeds bora na safi kwa bei ya nafuu

    Soma hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/mbegu-za-chia-matumizi-yake-na-umuhimu-wake.1566375/
Back
Top Bottom