Chia seeds bora na safi kwa bei ya nafuu

Jul 21, 2019
17
25
Nauza chia seeds zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu.

1kg inauzwa 17,000/- gharama za kuletewa utajitegemea.

3kgs na zaidi zinauzwa 1kg@16,000/- unaletewa popote Dar es salaam.

1/2kg inauzwa 10,000/- gharama za kuletewa unajitegemea.

Zinafaa kwa matumizi ya tiba lishe, pia zinafaa kama mbegu ya kuotesha tena.

Wahi sasa kabla hazijaisha.
Tuwasiliane kwa namba zifuatazo:
Tigo 0652234907
Airtel 0783985504

UPDATES:
Ukiletewa maeneo ya Ubungo mataa, Riverside, Ubungo Msewe, Ubungo Kibo na Rombo, Kimara Baruti na Shekilango hakutakuwa na gharama za usafiri.

Utauziwa
1/2@10,000/-
1kg@17,000/-
3kgs na kuendelea 1kg@16,000/-
 
Ufafanuzi:
Ukiletewa maeneo ya Ubungo mataa, Riverside, Ubungo Msewe, Ubungo Kibo na Rombo, Kimara Baruti na Shekilango hakutakuwa na gharama za usafiri.

Utauziwa
1/2@10,000/-
1kg@17,000/-
3kgs na kuendelea 1kg@16,000/-
 
Soma hapo chini
 
Sorry mdau kazi zake ni nini?
Kupunguza unene,uzito, cholestrol, sukari ya ziada mwilini.
Hupunguza na kukukinga dhidi ya matatizo mengi ya magonjwa ya moyo.
Kinga dhidi ya saratani.
Kuimarisha mifupa.
Kufanya uonekane kijana zaidi(anti aging, antioxidation).
Kwa kupunguza uzito na sukari za ziada hukufanya uongeze ufanisi ktk tendo la ndoa.
Kulala usingizi mzuri.
Kuondoa tatizo la kupata choo kigumu.
Nitaendelea ...
 
Back
Top Bottom