Recent content by chief chakicha

  1. C

    Chonde chonde PPRA, waruhusuni TRC kuchagua mkandarasi wa kujenga reli kwa mfumo wa single source for a National interest

    Single law nchi zetu hizi za Kiafrica ni upigaji wa kufuru. Lbda nikusaidie, makampuni yanayoweza kujenga reli kwa kiwango tunachotaka yapo mengi sana duniani, sasa iweje tushindwe hata kushindanisha atleast matatu tuu? Pia kinachotuongoza ktk ujenzi ni specification za mteja alizoziweka ambazo...
  2. C

    Utafiti: Karibia kila mwanaume ana kovu kidole cha shahada cha mkono wa kushoto

    Nimelikuta kovu tena sio moja Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Stika imeandikwa Tsh 3000, nyie mnauza 5000

    Pole sana Dhumuni la zile sticker sio kuziuza ila3 gari linatakiwa likaguliwe then ulipie ile sticker kwa huduma ya ukaguzi. Ila wabongo wanefanya mradi. Na ole wako uwakomalie waikague gari yako ndo upate sticker kwa3 bei halali utajuta. Hata kama gari yako itakuwa brand new utasikia oil...
  4. C

    Mali za Marehemu Bilionea Erasto Msuya, ndugu ngumi mkononi

    Kosa kubwa alilolifanya Erasto ni kuoa mchanga halafu akawa na mali. Angekuwa maskini hadi leo angekuwa hai
  5. C

    Niliyojifunza kupitia mbio za Mwenge 2019

    Taarifa yako hii ni ya kweli kabisa.
  6. C

    Vitambi vya wanawake vinasababishwa na nini ?

    Accommodation of excessive fat zinazotokana na vyakula. In short hawali balanced diet
  7. C

    Tatizo la LUKU kuisha haraka

    Angalia kama wire3 wa earth unafanya kazi vizuri. Mara nyingi watu wanaweka earth rods za bei rahisi ambazo sio pure copper ila nondo za kawaida ambazo zimekuwa coated kwa copper. Hii nondo kwa muda mfupi inapata kutu na inaoza kwahiyo nyumba inakosa earth na kisha kusababisha leakage ya umeme...
  8. C

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Daa huu uzi umenisaidia sana. Mm jamaa yangu aliita ktk style zote ambazo nimezisoma humu na nikafika nikasalimiwa good morning wakati ilikuwa saa 11 jioni ila nikavumulia tuu. Nikaingia kwenye mafunzo ya awali ila nilitoka sijaelewa kitu na nikaahidiwa nitaelewa vizur kwenye mafunzo ya pili...
  9. C

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Ni kweli, ila ushauri wa kumfungia nyoka kiunoni hahahaa huo siuwezi maana watt wetu wengine hawa hata hajawahi kumuona nyoka kwa ukaribu, anamsoma kwenye vitabu tuu sasa ndo aamke amkute tupo kiunoni na kwa bahati mbaya hana uhakika kama yu hai ana amekufa, hii inaweza kuwa tukio baya sana...
  10. C

    Msaada wenu wakuu

    Story za madalali wa kibongo ni hatari sana.
  11. C

    Msaada wenu wakuu

    Yaa ila gari niliyonayo kama nilivyosena niyakusambazia tuu maana ni canter tani 2 japo kibongo bongo hadi tani 4 inabeba. Hii kwa kufuata mizigo mikoani haifai, ni town trips kwa ajili ya door to door distribution tuu.
Back
Top Bottom