Tatizo la LUKU kuisha haraka

Tatizo la LUKU kuisha haraka

Angalia kama wire3 wa earth unafanya kazi vizuri. Mara nyingi watu wanaweka earth rods za bei rahisi ambazo sio pure copper ila nondo za kawaida ambazo zimekuwa coated kwa copper. Hii nondo kwa muda mfupi inapata kutu na inaoza kwahiyo nyumba inakosa earth na kisha kusababisha leakage ya umeme.
Nakushauri ufuatilie mfumo wa earth halafu ukiona tatizo ni hiyo earth rod imeoza usinunue earth rod nyingine maana nyingi ni fake na kuitambua OG lazima uwe mtaalamu kiasi, utanunua copper wire ya 10mm2 kama mita 2 hv utaichimbia chini badala ya earth rod then utakuwa umetibu tatizo.

Huwa kuna vifaa vya kupimia earth ambayo kwa nyumba ambayo earth yake iko vizur inatakiwa isizidi 5 ohms ila kinauzwa bei kubwa kiasi mafundi wengi hawawezi kukinunua.
Jamani mbona sasa hivi LUKU zinaisha mapema sana tofauti na zamani au tatizo lipo kwangu ,

Zamani nikiweka Umeme wa elfu 20 unakaa mpaka mwezi lakini sasa hivi unakaa almost wiki mbili mpaka wiki tatu ,

Na hakuna kitu kipya ambacho kimeongezeka na matumizi ni Yale Yale ya kila siku.

Jamani hili tatizo ni kwangu tu au hata kwako ulipo nayo ni hivyo hivyo
 
Angalia kama wire3 wa earth unafanya kazi vizuri. Mara nyingi watu wanaweka earth rods za bei rahisi ambazo sio pure copper ila nondo za kawaida ambazo zimekuwa coated kwa copper. Hii nondo kwa muda mfupi inapata kutu na inaoza kwahiyo nyumba inakosa earth na kisha kusababisha leakage ya umeme.
Nakushauri ufuatilie mfumo wa earth halafu ukiona tatizo ni hiyo earth rod imeoza usinunue earth rod nyingine maana nyingi ni fake na kuitambua OG lazima uwe mtaalamu kiasi, utanunua copper wire ya 10mm2 kama mita 2 hv utaichimbia chini badala ya earth rod then utakuwa umetibu tatizo.

Huwa kuna vifaa vya kupimia earth ambayo kwa nyumba ambayo earth yake iko vizur inatakiwa isizidi 5 ohms ila kinauzwa bei kubwa kiasi mafundi wengi hawawezi kukinunua.
Shukrani sana hapo umeniongezea maarifa
 
Back
Top Bottom