Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Na hii ni Central kabisaa. Sasa siwaelewi ndugu zetu hawa. Tutafika kweli?
Leo asubuhi askari wa usalama barabarani amenikamata; kanikomalia hadi nimempa 10k, kisa stika ya Nenda kwa Usalama.
Nmeifuata natoa 10k narudishiwa 5k, nikauliza, "Vipi mbona imeandikwa bei ni 3k?" Eti akasema ndiyo bei yake kiongozi. Sasa si bora muandike 5k tu?
Kweli penati zinakabwa wakuu. Kiufupi imeniuma sana bado naiwazia 2k yangu hapa. Ingetosha Serengeti Lite kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app