Kweny vpaumbele hapa asiache
+ Kujiweka karibu na mungu,na ajue kwmba zinaa ni mbaya na ndiyo dhambi kubwa inayotuangamiza kimwili na kiroho.
+Atafute mafanikio,hapa namaanisha pesa.
Naikumbuka Shambalai sec school 2010 (Tanga), pale form six walipofunga vyoo vyote vya shule kisa form five tulikuwa tukienda kupiga kubwa chooni tuliacha mizigo juu...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jikubali kwanza,ipo cku atatokea atakae kupenda kw jinsi ulivyo,jitahidi kuwa mcha Mungu kwa maana ndio sifa ya kuu kw mwanamke(hata mm huwa navutiwa sana na mwnamke mcha Mungu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.