Recent content by chicharito cv

  1. C

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Siyo ICC(international criminal court) n ICJ(criminal Court of justice). ICC hawana mamlaka ya kusikiliza
  2. C

    Sheria inayokataza mahusiano na wanafunzi ambaye yuko chini ya miaka 18+

    Sexual offences special provision Act 1998 pamoja na penal code zinahusika
  3. C

    Napendekeza ujengwe mnara wa kumbukumbu wa Deo Filikunjombe

    Kafanya kazi lakini bado haijafikia hatua ya kutukuzwa mpaka kujengewa mnara
  4. C

    Yanayojiri mkutano wa Magufuli; Kibamba, Kibaha Vijijini, Chalinze, Kibaha Mjini na Kawe- 22/10/2015

    Magufuli atajenga viwanda kwa pesa zipi maana maabara za shule za kata tulichangia. Au na hapa tutachangia??? Anza kuchuja hyo kwanza
  5. C

    Yanayojiri mkutano wa Magufuli; Kibamba, Kibaha Vijijini, Chalinze, Kibaha Mjini na Kawe- 22/10/2015

    Star TV watu hawaangalii tena cku hizi. Ile Chanel ishakufa kama TBC
  6. C

    Magufuli kujenga fly over Mwanza

    Haipo kwenye ilani hyo. Atuambie kaitoa wapi
  7. C

    Asante Mwanza, UKAWA sasa BAI BAI

    Leadership is to get followers. Do people follow you willingly?
  8. C

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Membe): Thomas Sankara alikuwa Rais wa Benin

    Thomas Sankara ndiye muasisi wa Burkina Faso. Alibadili jina kutoka upper Volta to Burkina Faso
  9. C

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Membe): Thomas Sankara alikuwa Rais wa Benin

    Thomas Sankara ndiye muasisi wa jina Burkina Faso na aliuwawa na rafiki yake wa karibu kwa mpango uliokuwa initiated na wafaransa
  10. C

    Uhakiki binafsi juu ripoti ya mikutano ya Dr. Magufuli tangu kuanza kwa kampeni

    MNASEMA MNATAKA MGOMBEA ANAYETUMIA MUDA MWINGI JUKWAANI 👉dakika 15 anasalimia kwa lugha za makabila yote 👉dakika 15 analalamikia serikali ya ccm na kushangaa kwanini mambo hayaendi na kusahau yeye naye ni sehemu ya serikai hiyohiyo -👉dakka 10 anapiga pushup na kuruka...
  11. C

    Mgombea UDIWANI wa CCM ambaye ni Rais wa Yanga aweka historia Mbagala

    Watu wamekuja kumuona Temba tunda man na wasanii wengine
  12. C

    Picha: Lowassa Kanisani Leo

    Lazima aanze na Mungu
Back
Top Bottom