nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
ahadi za maghufuli nyingi ni ulaghai...
Magufuli ni mwanetu Mwanza na tunamuamini. Hata bila ya Kampeni wala ahadi tutampa kura. Huyo goigoi wenu watu wanafuata hela zao alizokwapua na hakuna kingine. Subirini jumamosi ndo mtapata jibu kamili. Mwanza usidhani wote ni wanywa viroba. Asilimia tisini na tisa point tisa tisa tunajitambua
Hatuhitaji askari wa kukodi kutoka Meru kuja kutuletea maendeleo kanda ya ziwa. Magufuri atosha.
Magufuli ni mwanetu Mwanza na tunamuamini. Hata bila ya Kampeni wala ahadi tutampa kura. Huyo goigoi wenu watu wanafuata hela zao alizokwapua na hakuna kingine. Subirini jumamosi ndo mtapata jibu kamili. Mwanza usidhani wote ni wanywa viroba. Asilimia tisini na tisa point tisa tisa tunajitambua
ahadi za maghufuli nyingi ni ulaghai...
Sidhani kama alisema flyovers, balialivhosema ni kujenga daraja kuunganisha Busisi na Sengerema. Nia ya ahadi hii ni kuipiku iliyotolewa na ya mgombea wa Ukawa aliyeahidi vivuko bure!Jana akiwa Mwanza viwanja vya Furahisha ameaihidi kujenga flying over.
Mimi najiuliza wana Mwanza kweli mnakubali na ahadi hizi?
Ki ukweli leo Dar es salaam hakuna cha fly over ndio kwanza juzi wamewekasaini ili kupata kura za dar zaidi ya miaka kumi toka Mkapa alipotoa matamshi then akaja JK nae alizungumzisa dar kujenga flyingover.
Msidanganyike wana Mwanza awa watu wana ahadi za kusadikika sana kama mtu umesoma kitabu cha kusadikika ndio ahadi za Magufuli.