Recent content by Chicago Boys

  1. Chicago Boys

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Fools carry themselves, pathetic
  2. Chicago Boys

    Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

    Mkurugenzi wako uelewa wake mdogo ,ndio maana akakujib hivyo . Ila Mwanadam akiwa katka mazingira aina tatu uwaga anaongea ukweli 1. Ulevi 2. Utani 3. Hasira Katka mazingira hayo mtu akikwambia kifanyie kazi.
  3. Chicago Boys

    Kama Magodoro yana Chawa, Kunguni na Mba hayanunuliki tena, kwanini Wasikimbiwe na Wanaojua Mpira?

    Ajawai kuwa na akili zilizo timilika huyu, pathetic idiot! Kuna wakat unatakiwa uondoe hisia ,katka vitu vya kimaamuzi na hivyo ndivyo taasis uendeshwa .
  4. Chicago Boys

    Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Weka namba ya simu ,tena Mimi nakutaka sana ,sema ujib pm zako ,
  5. Chicago Boys

    Wazazi wengi nchini kulalamikia michango ya 500 kwa wanafunzi madarasa ya mitihan ni umasikini au ujinga?

    Ni ujinga kama 500 ya madrasa yakushinda ,utaweza nini kama mzazi, kila kitu kiwe bure !!! Shame on us
  6. Chicago Boys

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

    Mwenyezi Mungu awezi kuwa dhalimu kias hicho
  7. Chicago Boys

    Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

    Anakufaham na yeye!? Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  8. Chicago Boys

    Yanga ndani ya kimvuli cha Mazembe ya zamani

    Nyie mna kipi hasa ,misimu mitano mmevuna points 35,yanga msimu mmoja tu points 20, bado unaona sawa tu!? Jitafakari Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  9. Chicago Boys

    Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

    Aisee unakwama wap!? Shingo tamu ile Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  10. Chicago Boys

    Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

    Ndio ,si ni wakike au !? Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  11. Chicago Boys

    Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

    Yule wazir ummy mwalim, tena ile shingo yake yani wew acha tu Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  12. Chicago Boys

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sasa shehke si kombe Moja tu alainika huyo
  13. Chicago Boys

    Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Tuendelee kuwa bize na mpira ,Simba na Yanga, huku fei. . watu wanakomba kila kitu, nchi gan redio na tv azina mijadala ya vitu muhim ni mpira tu! Mambo yaki puuzi kabsa
  14. Chicago Boys

    Injinia Hersi: Rais Samia atoa ndege kuipeleka Yanga Mbeya

    Na Ikulu ikihamia Dodoma ,pale magogoni Yanga wana pamiliki mazima!
  15. Chicago Boys

    Jemedari Said awajibu Yanga kuhusu Manara kupewa kazi ya kuchagua wachambuzi watakaokwenda Algeria

    Maneno ya wakosaji tu, wala naul ya kwenda Algeria awana, na wana miogopa manara ,imebaki mipasho tu
Back
Top Bottom