Recent content by CHIBUTU

  1. C

    Wakimbizi wa Burundi waliokuwa DRC wakimbilia Rwanda kwa kudai kuhofia usalama wao

    Mkimbizii lakini unakuwa na masharti kibao kwanini sasa usitudi tuu kwenye nchi yakoo ukakae hukoooo
  2. C

    Kubenea: Tundu Lissu amesema anawajua kwa sura waliompiga risasi

    Sasa kama ndohivyo kumbe ni kazi rahisi kuwapata hawa watu wasiofahamika kuna haja gani ya kuweka conditions kuwa kama police wakiwakamata basi lissu atawajua akati anawafahamu waliomshambulia mimi ningependa hili swala lisichukuliwe kisiasa sababu kulichukulia kisiasa basi mwisho wake siyo...
  3. C

    Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

    Malinzi siyo kaanza kutoa rushwa bali alikuwa na matumizi mabaya ya ofice akiwa madarakani elewa hivyo mkuu
  4. C

    Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Hayatuhusu hayoo siai tunamsikiliza kiongozi anayesimamia haki
  5. C

    Katika hali inayoonyesha hali ngumu ya kiuchumi, Mahanga amwangukia Msemakweli

    Duh!! Leo hii umekuwa mdogo kweliii unaomba msamahaa kabisa kilichobaki upige goti umsujudie msemakweli tuuu au makamanda wamekukachaaa??????
  6. C

    Wanaosoma diploma kupewa mikopo kuwezesha uchumi wa viwanda

    Itakuwa vizuri sanaaaa kwa huu mpango lakini wasiwasi wangu ni kwamba vigezo vyao vitakuwajeeee kwa wanaochukua kozi za uhandisi
  7. C

    Zitto Kabwe: Nitajiuzulu Ubunge kama Serikali itanionyesha tani milioni 1.5 za Mahindi

    Hayaa sasa kinana na polepole kazi kwenu kukinusuru chama maana tani1.5mil simchezo na kama zipo mnataka kuanza kuzigawa mda gani sababu watu wanakufa kwa njaa hukuu
  8. C

    Zitto Kabwe: Nitajiuzulu Ubunge kama Serikali itanionyesha tani milioni 1.5 za Mahindi

    Kama kweli ccm wanataka kurudisha angalau kidogo imani ya chama kwa wananchi basii watuoneshe hizo tani 1.5mil siyo kuandika magazetini tuu maana huku mitandaoni imeshakuwa ndo mjadara hakuna kingine cha kuzungumzia
  9. C

    Serikali yapiga marufuku nyama ya kuku kutoka nje

    Hapo naunga mkono sasa naaminii hii itakuwa fursa kwa wafugaji wa kuku kukuza soko la ndani
  10. C

    Taarifa ya Maafa ya Kagera kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu

    Kila nikizisoma hizi habari huwaga naharibu siku yanguu sijui nifanyeje ili nisiwe naiharibu siku yangu maana imefika mda naona bora kusiwe na serikali maan kama watu wanachanga kwa ajili ya waathirika alafu mnabadilisha lengo na kuwa eti zinaingia kwenye taasisi za serikali hiyo mifuko ya maafa...
  11. C

    Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

    Mwanamke kumuita mwanaume shoga ilihali nawewe umeolewa sasa sijui mmeo naye ni hivo hivo shoga amaaa vipiiiii
  12. C

    Asimamishwa kazi kwa kukamata Wanyarwanda porini

    Tunakuwa watumwa ndani ya nchi yetu nani wa kutukomboa???? Tumekuwa wakimbizi ndani ya nchi yetu nani wa kututoa katika janga hiliii??? Hivi kwelii ng'ombe za wazawa zinataifishwa alafu ng'ombe haramu zinapeta ndani ya ardhi ya tanzania sasa naanza kuelewa kwanini kipindi kilee hawa jiran zetu...
  13. C

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Huu mpango wa tushirikishane utaanzishwa linii na mbunge wangu mwaka???? Wa jimbo la chilonwa???? Maana kuna vitu vingi sanaa vinakosekana chamwino ikulu na vinahitajika kuwepo
  14. C

    NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

    Hahahahahaaa sawaa kamandaa pipoooooozzzzz
Back
Top Bottom