Recent content by cherel

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Shushia na bia saba hapo nakuja kulipa:D:D
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waume Zetu Wa Ki Africa, Jifunzeni Kupenda Wake Zenu, Msikomalie Culture Stigma! TIMES ARE CHANGING!

    jamani kumspoil mke wako sio lazma kuwe kwa mamilion au malaki yaan mfanyie mkeo kulingana na kipato chako kama ni kipato cha chini si lazima muende outing za hali ya juu mnawza mkaenda bar au sehemu ya jirani mkanywa soda mkacheka mkafurah..au mkaenda mliman city mkaingia mary brown mkanywa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

    hapo sasa waislam ndo mjue maana na. faida ya elimu..kutwa kukaa vibarazan kucheza bao mnaacha kuwapeleka watoto shule mnawapeleka madrasa pekee...elimu ya dini iende sambamba na elimu ya darasani... mngekua mmeelimika wasomi mngekua kwenye izo nafas za mahakimu na wasimamiz wa kesi
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumtema mazima.

    iviii hujioni unagundu,umechina,huna swaga au we mbaya????? kwanin kila siku wewe tu unatoswa wewe tu hupendwi wewe huyohuyoooo...why?inabidi ujiangalie vizur kwenye kioo uone kasoro yako kaka angu haiwezekani na sifa zote izo bado kila siku unalalamika mademu wanakutosa naamini lipotatizo...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono linanimaliza...

    duu ndugu yangu umetisha khaa.....sasa unakumbukaga condom kweli?
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu mvivu!

    kwa kweli wanawake tunajiahaugi sana..ukisha zaa attention yote inaamia kwa mtoto unajisahau ye mwenyewe unamsahau na mumeo...chamsingi ni jaribu kubadiliaka....jaribu kua unafanya vile vitu mlivyokua mnafanya b4 ndoa
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

    masikini wee kingereza chenyewe hujui wakishua gani wewe ptuuuu
Back
Top Bottom