Recent content by Chengo Wa Anziwani

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tenda za miche ya miti

    Habari wadau, napenda kuwashukuru wote waliofanikiwa kuwasilisha offer zao kwa ajili ya miti ya mipaina. Nashukuru niweza kupata Supplier wa miti niliyokuwa naihitaji kwa gharama shindani. Asanteni sana 🙏🙏
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tenda za miche ya miti

    Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Ungeuliza hivi "kama kweli Mungu hayupo, what organized haya mambo ulimwenguni"
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

    Acha uongo lengo la master's degree sio kupata managerial exposure. Lengo ni mwanafunzi aweze kumasta field yake( kuwa mahiri). Phd mwanafunzi anatakiwa kucontribute new knowledge kwenye body of knowledge.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji kwa maji ya maziwa

    Hongera kwa mawazo mazuri,. Usitumie tena trial and error kiongozi, maarifa yapo YouTube kwa bei sawa na bure kabisa. Anzia hapa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mzee abuni umeme wake "haukatiki, sijasoma nilitengeneza helikopta wazungu wakachukua"

    Nadhani umemwelewa vizuri ila binafsi naona kuna kitu hakipo sawa... Ningependa uelezee hii innovation in terms of "law of conservation of energy" Kama huu ugunduzi hauta obey hii law, basi mgunduzi atakuwa katwanga maji kwenye kinu. NB: The law of conservation of energy states that " Energy...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha Chuo, Nishaurini nianze na kozi zipi?

    Anzisha chuo cha ufundi diploma na veta then somesha Engineering na icts, pia anzisha na kampuni ya uhandisi inayomilikiwa na chuo, utakuja kunishukuru
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu wa namna ya kumaliza tatizo la ajira

    Asante, mtazamo wangu ni kwamba tubadili mfumo wetu wa elimu, 80% ya elimu yetu ijikite katika elimu ya ufundi, kilimo, ufugaji, sanaa michezo na kujitengemea. Hizi ndio nyanja ambazo ni rahisi kwa mtu kuajirika na kujiajiri pia na ndio vitu vinavyogusa maisha yetu ya kila siku. 20% iliyobaki...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dunia sasa inahamia kwenye Artificial intelligence, vijana wa Tanzania bado wanasoma ili waajiriwe na Serikali

    Watanzania tunawaza Tunawaza mambo makubwa Eti "Artificial intelligence" wakati mambo madogo ya kiufundi yanatushinda.
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Sisi ni wajinga mpaka inatia kichefuchefu. Basi tu-assume watanzania wote tunajua kiingereza au lugha za kigeni kwa ufasaha sawia Waingereza/ wageni , So what? Wote tukafanye kazi za kimataifa? Akili za kitumwa hizi. Tuwezeke katika elimu ili kupata maarifa ya kutosha katika lugha tunayoimudu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nahisi naishi na watu wasioonekana nyumbani kwangu

    Huu mtazamo ni hasi sana.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 5 za Afrika zenye mifumo bora zaidi ya elimu

    Nilitegemea ungezungumzia mfumo wa elimu ambao ni bora katika nyanja ya content na context. Ila hizo 8-4-2 n.k ulizoziekezea sidhani kama ni kipimo cha elimu nzuri mi nadhani ni muundo tu na mpangilio wa vidato na madarasa.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

    Ni naona shida kubwa ipo kwa directors (waongozaji). Director kwa kiasi kikubwa ndio huamua muvie iwe na uhalisia au la. Ila wasanii tunaowengi sana wenye uwezo na stori ambazo zinaweza kuwa converted into movie zipo nyingi sana mtaani. Filamu nyingi zilizoongozwa directors kutoka nje na actors...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Usu Usichanganye culture na technology
  15. C

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Bure: Kutengeneza Umeme wa Sumaku (Sehemu ya 1)

    Sumaku na usumaku ni medium kwa ajili ya conversion of mechanical energy to electrical energy na sio chanzo cha nishati yoyote( source of energy). For more clarification refers to Faraday's laws of electromagnetic induction and lens's law and law of conservation of energy as well.
Back
Top Bottom