Recent content by Chendembe

  1. Chendembe

    TRC Kwanini mnakiuka sheria ambazo zinamtambua mtoto ni yule mwenye umri wa chini ya miaka 18

    Katika mfumo wa ticket wa Safari za treni yetu ya mwendo kasi, nimebaini kuwa tickets zimegawanywa katika makundi mawili kwa kuzingatia umri wa abiria: Mtu mzima Na mtoto. Kwa mujibu wa TRC, Mtu mzima Ni kuanzia miaka 14. Kwakuwa hili ni Shirika la Umma Ni vema lionyeshe njia katika kufuata...
  2. Chendembe

    Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

    Vita imeisha hiyo. Maji yamekuwa marefu kwa wachokozi.
  3. Chendembe

    Mgogoro kati ya Iran na Israel umeingia katika hatua mpya ya hatari na ya moja kwa moja

    Vita imeisha hiyo. Maji yamekuwa marefu kwa wachokozi
  4. Chendembe

    Spika Dkt. Tulia ashangazwa na wanaosherehekea uamuzi wa Mahakama viongozi kushtakiwa

    Shida inaanzia hapa kwenye "Mhimili Mkuu". Wanasheria wetu tujuzeni Je katiba imebainisha uwepo wa Mhimili Mkuu?
  5. Chendembe

    Netanyahu awaomba wairan waandamane. Kipigo kimemrusha akili

    Sema tu ukweli kwamba US akiamua Sio Israel. Israel ananini kuishinda Irani?
  6. Chendembe

    Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  7. Chendembe

    Yanga haina wanasheria kila mara ni kushindwa kesi

    Tunawalaumu Wataalamu bure, Shida ipo kwa viongozi. Wanadharau Wataalamu
  8. Chendembe

    Short Notice ya Malawi yaleta hasara kubwa kwa wafanyabiashara Tanzania

    Like tamko haliko sawaa kidiplomasia kwa kweli
  9. Chendembe

    PreGE2025 Rais Samia apandisha dau 'Goli la Mama' kwa Simba SC, kila Goli TSh. milioni 10 kwa mchezo wa CAF

    Kuna hatua za mashindano zinahotaji uzalendo Zaidi. Machi hii wachezeshwe magolikipa watanzania
Back
Top Bottom