KAMPUNI ya ulinzi ya kimataifa ya Security Group, ambayo inatoa huduma ya ulinzi kwenye ofisi za Umoja wa Mataifa (U.N), mabalozi, mabenki na ofisi nyingine kubwa nchini, inadaiwa kukwepa kodi na kujiendesha kiujanjaujanja, Tanzania Daima limebaini.
Kampuni hiyo maarufu nchini, inadaiwa...
Nilichogundua tatizo halikuwa Richmond ila tatizo lilikuwa ni Uwaziri Mkuu... wanasiasa wa Bongo wamejaa fitina na uchu wa madaraka... haiwezekani mitambo ya Richmond na baadaye Dowans iliyodaiwa kuwa ni michakavu na haina uwezo wala sifa za kununuliwa na serikali leo hii iwe na sifa za kuweza...
watanzania tuache majungu... Nehemiah ni jembeeee... Hao wataalamu waliotimuliwa walifanya kitu gani nhc sana sana walipelekea shirika kuelekea kaburini... Wabongo tusipoacha tabia za majungu, wivu, roho mbaya na chuki binafsi nchi itabaki kuwa ya walalamikaji tu badala ya kupiga hatua hatimae...
Hata mkimtetea vipi... haitasaidia kuwabadilisha wana Kawe kujutia maamuzi yao ya mwaka 2010... HALIMA MDEE ni MZIGO KWETU.... hana msaada hata yeye mwenyewe analifahamu hilo. Mwaka 2015 arudi Viti Maaulum watupe Jembe lingine.
Najutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... kumchagua huyu Dada ni mzigo kweli kweli wala haonewi tokea tumchague hajawi hata siku moja kuja Kata ya Msasani kuitisha mkutano hata wa shukurani tu... ila ukienda Nyumbani Lounge kwa Lady Jay Dee amejaa tereeeeeeeeeeeeeeeeeee... JF tusitete uwozo jamani eti kwa...
Usimhukumu mtu kwa tuhuma tuuu... wewe siyo Mungu Baba ndiyo maana vimekuwepo vyombo vya dola kama hayo yote ni kweli. Changia kwa hoja na siyo kwa kufuata upepo au kwa ushabiki.
Mwacheni Doctor apate muda wa kupumzika kwani bado hajawa fit kiasi hicho... kuanza misukosuko tena licha yeye kusema yupo fit pale airport siku alipowasili... lkn kwa nilivyomuona...bado anahitaji mapumziko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.