Lasikoki
JF-Expert Member
- Jan 10, 2010
- 640
- 118
watanzania wenzangu tuwe hivi hata lini?
Tunakubali kudanganywa na kudaganyika hata lini?
Wewe unayesema Dr Ulimboka aite press conference, kwani unataka kusikia yepi tofauti ya liyokwishasema na video kuwa uploaded kwenye YouTube? Au ni kipi zaidi ya aliyoyaandika Said Kubenea?
Taarifa zote mbili ulizifanyia kazi gani? Je ulichukua hatua gani? Unabaki kuwa mtaalamu wa kuandika kwenye keyboard lakini action iko zero halafu unathubutu kuwaita wengine waoga, wanafiki.
Kaka/dada acha hizo mkuu, haisaidii hata kidogo. Muacheni Dr Ulimboka apumzike na akijiskia kusema lolote au hata kukaa kimya tutauheshimu uamuzi wake. Aliyotufanyia ni makubwa sana katika harakati za haki nchini mwetu
otherwise mtoa thread acha unafiiki, chuki, umbea na uzabizabina. Sioni nikuite neno gani zaidi ya hivyo as it fit your description