Nani amekutuma wewe kwanini usitumie vikao vya chama aidha uvccm au vyovyote vile lakini viwe ni vikao vya chama kuzungumza madukuduku yako kama kweli unazo hoja za msingi na hukutumwa na mtu yoyote yule? Hii sio njia sahihi.
Jambo moja tu ambalo unatakiwa kujua ni kuwa, vijana wa ccm wamelelewa katika maadili ya kujua waongee nn wakati gani na wapi bila kusahau wanasema tu pale inapokuwepo sababu ya kuongea. hii ndio tofauti ya wanaccm na watu wale!!
Kwani hiyo miundo mbinu anajengewa nani? Mbona ni ya watu wa kagera pia hukohuko. Wale watu kabla ya maafa walikuwa tayari wameshapiga hatua kwenye baadhi ya huduma muhimu. Hii leo wamerudi nyuma kabisa. Tuwaachie jambo hili serikali ifanye uratibu. Haya uliyoleta humu ni masimango ya kitoto kabisa.
Hivi nyie mna matatizo gani? Kufilisika kwa twiga bancorp kuna uhusiano gani na CCM? mnaelezwa sababu za kuu ni fedha kutorejeshwa na wateja wake waliokopa. Wengine mnakuja na comment za kuishambulia ccm bila sababu za msingi kabisa. Kwan kama huna hoja si ukae tu kimya?
Shida ni kuwa ukianza kufuatilia kwa makini hivyo viashiria vya ukuaji uchumi nchini hali inakuwa tofauti sana. Gdp growth ratio,GNP growth ratio,investment strategies and implementation,hali ya maisha kwa ujumla makazi, upatikanaji huduma za jamii na mengineyo. Ukilinganisha na mwaka mmoja...
CRDB waseme ukweli kuwa moja ya sababu kuu ni expansion waliyofanya. Huo ndio ukweli wenyewe. Upanuzi wa benki hasa ongezeko la matawi na mambo mengine mengi hula Faida iliyopo. Hili suala sasa limevikwa kanga na kuanzisha msutano Nchini. Ukweli utadhihirika tu punde.
CCM sio saccos huyo mwenye hilo kundi lako unalosema mwambie hata asijifiche ajitokeze hadharani lakini atachapwa tu akisimama na JPM. Huyu hana mpinzani na hatakuwa nae ever.
Hivi karibuni Wakati Mh. Rais anawahutubia wakurugenzi wa halmashauri nchini alitoa tamko rasmi kuwa mapato yote ya serikali yaache kukusanyaji kwa njia ya stakabadhi badala yake njia ya elektroniki ianze kutumika mara moja. tokea hapo nimeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika kuona sehemu...
Sasa mtu anayetaka kuja kugombea ubunge 2020 tena arusha mjini na akiwa mkuu wa mkoa hivi sasa hapohapo anapotarajia kugombea ubunge inawezekana vipi akawa adui wa maendeleo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.